Chelsea wana misimu miwili mfululizo hawajawahi kushinda at the Hawthorns, huwa wanachapwa tu na hii match ishawacost makocha wawili vibarua vyao, AVB na De Matteo
Mourihno leo kawaangusha sana na Sub zake...Torres bado hayupo fit kabisa..nafkiri labda mngekuwa mnaongoza 3-0 ningeelewa uamuzi wa kumtumia...
Pia ni kama mliridhika na goli 1 na kumuingiza Obi na kumtoa Oscar..
Ila jamaa walicheza vizuri pale katikati hasa baada ya kuingia Mulumbu...