Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lavia na Nkunku kwenye benchi
Leo hakuna cha Caicedo wala Enzo
Pochettinoi bado uwendawazimu hajamuisha, makipa wawili benchi ya nini?
Maatsen kamkosea nini Pochettino asipewe nafasi ya kuanza?
1703419538316.png
 
Sioni leo tukitoboa😂😂

Mjiandae kwa excuse nyingine ya tulicheza j4 wachezaj hawajarecover vizuri
 
Hizo nafasi za wazi za kufunga magoli STERLING anazichezea kuna watu hapa watamlaumu kocha.
Hiv unahisi watu wanamlaum Poch kwa nafasi tunazokosa
Je kumtumia Colwil kama LB kuna saidia team kwenye kushambulia ?????
Muangalie Colwil akicheza LCB uone halaf na huyu anaecheza LB nikama unamlimit uwezo wake
Una matsen why hutaki kumtumia

Tunacheza nini uwanjani
Je tunacreate nafasi
Tunapattern yoyote au ndio tunagemea mchezaj mmoja mmoja ndio aamue matokeo
 
Hizo nafasi za wazi za kufunga magoli STERLING anazichezea kuna watu hapa watamlaumu kocha.
Yani kama hamjamfam sterling tangu yuko liverpool then city basi mjue mnashida sana
Sterling sio clinical tangu huko alipotoka
Kwenye chance 5 huenda akapata moja au mbili au zote akakosa

Sisi sio City ambao tunaocreate chance after chance
 
Wanaruka ruka tu kama ngedere humo too bad hata nafasi wanazopata wanashindwa kuconvert to goals
Mxieww
 
Touch in opposition box 14 zero goal. Wachezaji hawajui hata kutuliza mpira sijui tulisajili matakataka toka wapi. Kocha nae pimbi Broja na Jackson wa nini uwanjani kwa pamoja
 
Poch mjinga sana hivi unwezaje toa RB uko nyuma na unamuingiza CB🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️
 
Ile timu iliyojaa Wareno sio ya kuidharau kabisa
Poch akiendeleza uzezeta wake ule ,hatuchomoki leo , na ukiangalia hii ni must win game
Yaani inabidi leo tushinde ili kujiwekea atleast mahali salama zaidi
Tunaye kocha zezeta kwenye mpira anayefanana na akina Jackson an Broja
Sterling anakula mshahara wa bure tu pale Chelsea
Timu hii inadidimia, sijui hata wanaomsifia Pochettino wanapata wapi ujeuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom