juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Wakati wa Hazard, Willian, Kante, Kovacic, luiz, n.k performance yao ilivyokuwa chini tulikuwa tunasema wachezaji ni wavivu hawajitumi, mgomo baridi ila walikuwa na uwezo mkubwa sana uwanjani.
Hawa wachezaji tulionao sasa hata wajitume mara 10 ya Gallagher uwanjani, still wengi uwezo wao mdogo uwanjani.
Hata wale wachache angalau wanaojiweza kiuwezo wanamezwa na hao wengi ambao hawana uwezo.
Tunao wachezaji wengi wa midtable teams na sio level ya THE BLUES, uwezo wao ndio umefika mwisho, hawafundishiki zaidi. Atakuja kocha mwingine the same lawama kwa makocha zitaendelea hapa.
Mkuu uko serious kabisa unavyosema tunawachezaj wabovu?
Chukua kile kiungo cha Enzo n Caicedo mpelekee kocha anayejielewa
Chukua James,Colwill hata Palmer na wengineo ambao wapo wapeleke kwenye makocha wanaojielewa uone kama hutopigwa kama ngoma
