Kama ilivyo Arsenal kwa miongo miwili sasaNachelea kusema Chelsea ilisharudi ilipotoka
itakuwa Timu yakugombea kubaki kwenye ligi tu
Hata conference league hamuwezi kucheza
Kama ilivyo Arsenal kwa miongo miwili sasaNachelea kusema Chelsea ilisharudi ilipotoka
itakuwa Timu yakugombea kubaki kwenye ligi tu
Hata conference league hamuwezi kucheza
Hatujawahi kushika nafasi ya 10Kama ilivyo Arsenal kwa miongo miwili sasa

Difence isiyojua kujiposition wala kufanya marking ni defense gani
Ubora wa hii timu ndio ubora wa kocha, havitenganishwi hivi vitu viwili
Jamaa mzuri, kakosa tu consistency na ndio maana ni vizuri kocha awekeze kwa Mudryk sana kwa sababu mchezaji mkongwe kama Sterling akianza kuwa inconsistent kwa umri huo sio picha nzuri. Ni kama Silva, msimu huu amekuwa akifanya silly mistakes nyingi tofauti na misimu ya nyuma.Sijawahi kumuelewa Sterling, jamaa ni takataka sana.
Nguvu zenu za Coca cola zikiisha mtaelewaMtani Usitulinganishe Arsenal na timu yenu iliyokosa Ubunifu ya Chelsea.
Wenzenu Arsenal tulishahama huko muda mrefu 🤗
Na Muddy.Naimani kabisa Moses Caicedo na Romeo Lavia wanajuta kwann walienda Chelsea![]()
Kumbukeni tembo yupo juu ya mti.Nguvu zenu za Coca cola zikiisha mtaelewa
Mechi ya jana ndio nimeamini hii timu bado sana, itahitaji sio chini miaka 4 ya kujitafuta ili kurudi kwenye njia ya ushindi wa makombe.

Tuchel = Same players same Problems
Potter = Same players same Problems
Poche = New Players same problems
Another coach = Same players same Problems
Nimeangalia leo Manure na Aston Villa wanavyobembeleza magoli bila hata kucheza vizuri, nikajiuliza sisi tunakwama wapi?Kwa Poch hapa hamna kitu
Tuko gw13 tumeonekana kuwa bora against top teams ilwa kwa hawa ambao tunapaswa kuchukua point tumekuwa poor.
Ni heri kicheza mpira mbovu huku unapata matokeo kuliko cheza mpira mzuri halaf matokeo mnapata kwa mbindd
Hawq matajiri kama walisemq target ni uefa msim huu basi wanahitaj kufanya maamuzi ya haraka
Ukiangalia spurs wanavyocheza halaf uangalie na sisi unabaki unacheka
Huyu Poch hamna kitu hapa
Pamoja kwamba unasema Kocha ana mapungufu lakini pia wachezaji wengi wana mapungufu (wamekutana pipa na mfuniko).
Kumbuka Wakati wa conte tulikuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa ila mfumo wa mwanzo ndio ulikuwa na matatizo ndio maana akabadilisha mfumo
Haya niambie Poche anaimprove vipi mapungufu ya uwezo mdogo wa Sterling, Jackson, Mudyk, Broja na Madueke kwenye kufunga magoli?
Kwahiyo Poche akibadilisha mfumo ndio wakina Jackson mapungufu ya ufungaji yataisha na wataanza kufunga magoli?


Tuangalie mpira Kwa kweli binafsi hata silaumu safu ya ulinzi kwa maana kwamba kama unashindwa kufunga magoli basi tegemea wewe ndio utafungwa.
Ishu kuu hapa ni kuongelea mapungufu ya washambuliaji wetu kwanini wanashindwa kutumia nafasi za wazi kufunga magoli?
Kama unataka tuboreshe tuu safu la ulinzi tusifungwe magoli basi kocha abadili mfumo tuwe tunajilinda tuu, tuachane na ushambuliaji hauna maana kwa sasa.
------- Sterling ------ Palmer -----
--- Gallagher - Caicedo - Enzo ----
Cucu - Colwil - Silva - Disasi - James
Alert ilionekana Joelinton akatukosa free header na kocha akaendea kucheza na badishaile iliniuma maana tumefungwa free header ,huu ni ujinga.Game ya Newcastle chance ngapi tumetengeneza???(1st half ngapi n 2nd half ngap)
2nd half mara ngapi tumefika kwenye box la newcastle????
Tangu 1st half unaona kabisa team inahitaj mabadiliko 2nd half inaanza hufanya unakuja fanya mabadliko huku tushafungwa goal 3 unategemea hayo mabadiliko yatakuwa na matokeo chanya?