🤣🤣🤣🤣🤣aaaaah ni raha tupu wakubwa jinsi cherkenge mnavyorambwa.
aaah anytime hashtag poch out inaanza
tutacheka sana hapa.View attachment 2825078
Dah ! Siku wahi tegemea Chelsea siku moja ingekuwa katika hali kama hii .Taratibu mashabiki wa Chelsea tunaanza kuwa sugu na matokeo kama wa Arsenal na Manure
Halafu mistakes za ovyo ,ukiangalia magoli yote tuliyofungwa leoDifence isiyojua kujiposition wala kufanya marking ni defense gani
Ubora wa hii timu ndio ubora wa kocha, havitenganishwi hivi vitu viwili
Fouls nyingi uneccesary na ndio tumekuwa yellow cards nyingi n red cardDifence isiyojua kujiposition wala kufanya marking ni defense gani
Ubora wa hii timu ndio ubora wa kocha, havitenganishwi hivi vitu viwili
Tukiwa mapumziko 1-1, kuna shabiki wa Chelsea akajitokeza na kusema timu yao ita challenge for the title msimu huu.. Watu wote wakaanza kucheka!😂Mzaha mzaha mwaka huu mnagombea kushuka daraja ,
Kwa mwendo huu mnarudi uefa au siyo? ChuraGame hilo hapo the blues, tukibakia kwenye huo mwendo kasi, UEFA tumerudi
View attachment 2822797
Mta press mpaka lini?Pochettino hataijenga Chelsea yenye kushindania makombe
Ataijenga timu ya kukomaa na timu kubwa kama akina Sunderland
Chelsea ikitaka mafanikio ya kubeba makombe iwekeza kwa kocha anayeweza kuisuka timu ya kucheza kwa nguvu, kukaa na mipira na kuwa na usanisi kwenye pasi na kufunga. Tuna timu kama ya mtaani tu hata hawa akina Caicedo na Enzo hawachezi kama kwenye timu walizotoka
Chelsea leo imeonekana hovyo kwa sababu wamerudi default hawakupress kama walivyofanya kwa City Liverpool na Arsenal.


Tulieni mkandweMtani Usitulinganishe Arsenal na timu yenu iliyokosa Ubunifu ya Chelsea.Taratibu mashabiki wa Chelsea tunaanza kuwa sugu na matokeo kama wa Arsenal na Manure
PambafuInatakiwa tumpasue Nu Casto bao tatu