Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

abro-1-1.jpg

.
Hao apo nyuma ndo wanafiki wa chelsea
.
 
Kumekucha hapa London Chelsea wanapata Bao lililofungwa na Hazard Dakika ya 26
 
Hazard the magician,anafanya vitu amabe kila mpenda mpira hochoki kuvitazama
 
Ukiwa Chelsea raha sn

Kiwango cha Chelsea kinatisha sn!
 
Sisi ni farasi Mdogo anajifunza kuruka na kukimbia na anaeitaji maziwa kunywa!

Sasa hatuhitaji kuongea sn km Man City na Arsenal! Vitendo vinaonekana uwanjani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom