Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

So wakumfananisha na Chelsea
kama unawafananisha, hawawezi kufanana, chelsea ni chelsea na Newastle ni Newcastle ......
ila bado newcastle ni timu ya kawaida sana. Ungenitsha hivyo kw Man city labda ningekuelewa, na city wenyewe game halitakua rahis hivyo. Lolote linaweza kutokea.
 
Newcastle wanakikosi bora msimu huu kuliko Chelsea.
 
chelsea na united tuungane, tutoe timu moja.
Au vipi ndugu zangu wa damu😅😅😅
 
20231104_115211.jpg

safi sana, huyu jamaa amekua akituhujumu sana.
 
Muwafunge Spurs
Kazeni miguu

Muibuke kidedea

Tunakesha kuombea hii mechi keshokutwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom