Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Point zetu zipo mikononi mwa Manshit...nyie Chelsick ni wasindikizaji tu...Jumamositukimpiga Liverfool kwisha habari
Anfield pae ni machinjioni hamtachomoka!!!!!! Na jinsi timu lenu linavyocheza hovyo usitegemee ushindi pale. Lazima mchezee kichapo na hakikwepeki!!
 
Ah endeleeni kubishana kumbe mnongelea history aisee. Sisi tukifungwa leo una haki ya kuongea.
Mentor leo si umempa mzigo Man City 😕😕 Ina maana timu yako huiamini ama?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Cech, Iva, Azplicueta, Terry, Cahill, Luiz, Matic, Ramires, Willian, Hazard na Etoo

Hapa ni mwendo wa kupaki treni na counter attacks
 
Mou amekusudia kushambulia sn Na pia nimependa kuona Willian anacheza Kati Yani nyuma ya Eto'o! Hii kutokana na uwezo wake Wa kumiliki mpira!
 
Kitu alichofanya Mou ni uwezo Wa wachezaji kumiliki mpira
 
Chelsea team,piga hao man shity 3 bila kama mlivyowafanya ndugu zao #tEamMburukenge ..
Nasikia etoo yeye ana aleji na manchestr yan akisikia tu manchestr hajali cha city wala united ni hat trick tu.
Na leo anawafumua tena 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom