Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,622
CHILLWELL miezi miwili nje

Hata Jackson jana kamwaga sana jasho na kacheza vizuri sanaCucurella kama RB jana kacheza vizuri japo alikuwa na makosa ya hapa na pale, kaweka juhudi ambayo huwa inakosekana kwa wachezaji wetu
Colwill kucheza kama CB anakuwa mzuri sana, Pochettino akiendelea tena kumchezesha kama LB afukuzwe kazi huyo mshenzi anatuharibia timu na wachezaji
Cole Plamer ni mchezaji mwenye akili sana, anafaa sana kule mbele, anaipa timu uhai kule mbele
Pivot ya Enzo na Caicedo itatusaidia sana
Poch hajui tu Galagah ndio anguko lake.Poch muoga sana anapenda kujilinda mno na Gallagher wake ndo kampa captain kabisa
Hiyo ya Enzo na Caicedo imekaa poa sana, ila sijui Kwa kocha wetu huyu mwehu, timu yake bila Galagah poch hapati usingizi, huwa anapata raha kumuona Galagah anavyofanya juhudi bila maarifa.Cucurella kama RB jana kacheza vizuri japo alikuwa na makosa ya hapa na pale, kaweka juhudi ambayo huwa inakosekana kwa wachezaji wetu
Colwill kucheza kama CB anakuwa mzuri sana, Pochettino akiendelea tena kumchezesha kama LB afukuzwe kazi huyo mshenzi anatuharibia timu na wachezaji
Cole Plamer ni mchezaji mwenye akili sana, anafaa sana kule mbele, anaipa timu uhai kule mbele
Pivot ya Enzo na Caicedo itatusaidia sana
Cucurella kama RB jana kacheza vizuri japo alikuwa na makosa ya hapa na pale, kaweka juhudi ambayo huwa inakosekana kwa wachezaji wetu
Colwill kucheza kama CB anakuwa mzuri sana, Pochettino akiendelea tena kumchezesha kama LB afukuzwe kazi huyo mshenzi anatuharibia timu na wachezaji
Cole Plamer ni mchezaji mwenye akili sana, anafaa sana kule mbele, anaipa timu uhai kule mbele
Pivot ya Enzo na Caicedo itatusaidia sana
Hiyo ya Enzo na Caicedo imekaa poa sana, ila sijui Kwa kocha wetu huyu mwehu, timu yake bila Galagah poch hapati usingizi, huwa anapata raha kumuona Galagah anavyofanya juhudi bila maarifa.
Tangu Enzo apelekwe na. 10 kaflop na Pochettino haoni hiloHiyo ya Enzo na Caicedo imekaa poa sana, ila sijui Kwa kocha wetu huyu mwehu, timu yake bila Galagah poch hapati usingizi, huwa anapata raha kumuona Galagah anavyofanya juhudi bila maarifa.
Yule dogo akienda kwa kocha anaejitambua kama wakina Pep au Arteta atazid kuwa mzuriHata Maatsen anafaa kuwa starter ,Yule dogo akicheza kuna kitu anaongeza , anaweza kushambulia na kurudi nyuma kukaba .
Poch aachane na ujinga wake
Jiandae J3Cucurella kama RB jana kacheza vizuri japo alikuwa na makosa ya hapa na pale, kaweka juhudi ambayo huwa inakosekana kwa wachezaji wetu
Colwill kucheza kama CB anakuwa mzuri sana, Pochettino akiendelea tena kumchezesha kama LB afukuzwe kazi huyo mshenzi anatuharibia timu na wachezaji
Cole Plamer ni mchezaji mwenye akili sana, anafaa sana kule mbele, anaipa timu uhai kule mbele
Pivot ya Enzo na Caicedo itatusaidia sana

Na saiv Anampa armband GalagherHiyo ya Enzo na Caicedo imekaa poa sana, ila sijui Kwa kocha wetu huyu mwehu, timu yake bila Galagah poch hapati usingizi, huwa anapata raha kumuona Galagah anavyofanya juhudi bila maarifa.

ila Poch ni tatizo kwetuHalafu Pochettino anashinikiza auzwe JanuaryYule dogo akienda kwa kocha anaejitambua kama wakina Pep au Arteta atazid kuwa mzuri
Jackson hatakuwepo ana kadi nyingi za njanoJtatu twende na hii line up
4-2-3-1
----------------Jackson --------------------
Mudryk -----------Palmer ------------Madueke
---------Caicedo ---------------Enzo ---------
Maatsen -------Colwill ------Disasi -----Cucurella
-------------------Sachez ---------------------
Ila Pochettino atatuwekea hii
----------------Jackson --------------------
Mudryk -----------Enzo ------------Sterling
---------Caicedo ---------------Gallagher ---------
Colwill -------Silva------Disasi -----Cucurella
-------------------Sachez ---------------------
Mechi zote tulizoshindwa kupata matokeo ni ushenzi wa Pochetino mwenyewe kucheza mfumo wa kipumbavu na kuwachezesha wachezaji nafasi zisizofaaJiandae J3
Enzo 10 pivot ya caicedo na Galagher
Halaf anamalizia na Colwil kama LB
Poch ni kocha wa hovyo