Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,520
- 7,292
Ntuzu najua leo kipigo no lazima kwenu...Pelegrini hatakubali afungwe mara 2 na nyie. Ila kwa upande wangu napenda mshinde ili tuendelee kukalia kiti kule juu. Uzuri ni kwamba leo sina presha kabisa kwakuwa matokeo yoyote yale is just fine.
COYG.....4EVER! !!
Chelsea wanaongea ongea sana utadhani mgonjwa anatama kukata roho
Point zetu zipo mikononi mwa Manshit...nyie Chelsick ni wasindikizaji tu...Jumamositukimpiga Liverfool kwisha habari
Ntuzu najua leo kipigo no lazima kwenu...Pelegrini hatakubali afungwe mara 2 na nyie. Ila kwa upande wangu napenda mshinde ili tuendelee kukalia kiti kule juu. Uzuri ni kwamba leo sina presha kabisa kwakuwa matokeo yoyote yale is just fine.
COYG.....4EVER! !!
Leo kipigo tu
analalamika juu ya?
Baada ya Matic na Lampard mbele kidogo wapangwe Hazard William Ramires na Eto'o
Ili sub tuwe na Oscar Obi Schuller na Ba Luiz na Cole na kipa mmoja!
Eden Hazard #17 amesema maneno haya muda si mrefu kwamba 'We know City are playing very well this season and they score a lot of goals, but we are not scared. We are going there to win.
Chelsea wanaongea ongea sana utadhani mgonjwa anatama kukata roho
Mheshimiwa Sizinga; wewe umefungwa 6 na Man City lazima uwaogope.
sisi kiboko yenu nyinyi, Manchester United, Man City na wengine wote ambao mnajifanya wajuaji.
Sisi kiboko ya wajuaji; :fencing:
umeshasahau na wewe ulivyokaushwa 5 na Gunnerz pale daraja la mabua?!loh,muwe na kumbukumbu wandugu
sat 29th oct 2011
stamford bridge
BPL
Lampard 14,terry 45,mata 80
RVP 36,85,90
A.santos 49
T.walcot 55
kama nimekosea kumbukumbu zangu Agosti 8 nirekebishe