AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 19
Simuoni ABT, au bado pressure imepanda??
Mwenyewe nimeshangaa... Nasikia maximum ni 7.Jamani substitute huwa wangapi kwenye CS?
Mwenyewe nimeshangaa... Nasikia maximum ni 7.
Mpaka sasa Man U washabadilisha watano!
Yumo Owen, anakimbia ile mbaya hahahahahaOwen yuko wapi?
Yaani Owen mpira wa kwanza anaokoa
mie naona bora muende extra time manake longtime sana tujaona mechi ya upinzani lool.
mie naona bora muende extra time manake longtime sana tujaona mechi ya upinzani lool.