Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chino wana man FC, ahahahhah
 

Attachments

  • 20230902_211159.jpg
    20230902_211159.jpg
    67.3 KB · Views: 3
Colwill sio LB
Enzo sio no 10

Halaf kuna Pochetino anayeamim Enzo ni no 10, Colwil ni LB


Pochetino sio kocha wakutupeleka nchi yq ahadi, na kwa hali hii tusitegemee hata kuwepo ndani ya top 6

Sababu zilizotufanya tumsajil Palmer naona kabisa Poch hataki.


Fukuza hii Pochetino kabla hali haijawa tete zaidi ya hapa
Unazungumzia Top 6 ipi kwa mfano?
Nadhani ungeweza angalau kuingia Top 10 kwasasa.
 
Enzo no 10🥲
Colwill LB🥲
N.jackson
NI MUDA PIA WA THIAGO SILVA KUPUMZIKA
PALMER yupo nje wakati ni mtengeneza nafasi mzuri
Pochettino anachokitafuta atakipata
 
Siamini kocha ni tatizo ila naamini wachezaji hawana uwezo.

Sterling na Jackson wapate nafasi ngapi ili wafunge magoli?

Mudyk uchezaji gani ule wa kupambana na vitu visivyoonekana
Kocha ni tatizo, angalia spurs muangalie Bissouma anavyocheza hivi sasa na yule bissoumq wa msim uliopita na kabla yq hapo

Bissouma wa Angie Postegleou ni kama yule wa Brighton

Kama huamini kocha hatuna angali hakuna mbinu zozote anazotumia ndani ya mchezo unaoendelea

Sub zake ni zile zile kila siku
Palmer alisajiliwa acheze 10 , ila cha ajabu anasugua
Wote tulikuwa tunategemeq kuonq double pivot ya Enzo n Caicedo ila ni opposite hivi sasa cha ajabu galagher eti ndio No 6 tangu lini.

Wote tunajua Galagher sio 6.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom