Kinyonga01
Member
- May 22, 2023
- 94
- 304
Kila nikiangalia Man united wanavocheza nikikumbuka Kuna Chelsea napata moyo Bora Man united [emoji23][emoji706]
Hii timu ni mbovu Jaman
Hii timu ni mbovu Jaman
Maporomokoni FCMpaka waseme [emoji23][emoji174]
Tena?😂Pochettino hamna kocha hapa, yani tunashindwq chukua makocha wazuri tunachukua hawa ma clown.
Angalia spurs wanavyocheza halaf angalia na sisi.
Pochetino ni Potter wakiargentina
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uongozi wa THE BLUES uandike barua kwenda FA yakuomba kujitoa kwenye mashindano ya Epl 2023/2024.
Kocha ni shida,Kiufupi kocha na wachezaji wote wanatakiwa waondoke. Tuanze upya, kuliko kuendelea na hiki kikosi cha mabox