Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
namumshkuru mungu aguero anaumwa ila lazima mkalie ndo naenda kwa mhindi nw kubet for the first time naenda kubet nikiwa na uhakika wa kurudisha hela yangu naenda kuweka mzigo wa 100k chelsea anafungwa na man city

We kabla ya kwenda huko pitia vyanzo vya habari vya michezo na wachambuzi mbali mbali na wavuti ya habari ya City uone wanasemaje juu ya game ya Leo!
Chezea Mourinho wewe?? Chezea Chelsea wewe???
Wachambuzi wengi wamebashiri hii game kua sare yeyote ile na pia hawajaacha kumzungumzia Mourinho umahili wake! Alafu Mdengereko Wa Kisiju unamponda Mourinho!
Bado masaa tu uone shughuli pevu!
In Jose Mourinho we trust! In Chelsea We Trust
Holler!!!!!!!
Washabiki wa Man United wamehamia Man City..baada ya kufungwa kila kukikcha.:biggrin1:
Kazi ya viungo wetu ni kuhakikisha Toure na Silva hawatoi pasi kuwafikia Negredo na Dzeko!
Mtatulia tu dawa iwaingie leo...
THEY ALSO HAVE TO STOP US
Hayo ni maneno ya Mourinho ktk wavuti ya habari ya Chelsea!
Wiki iliyopita Tulikua na mijadala mbali mbali hasa hii game ya Leo! Na ktk michango mingi tuligusia kua Lazima na wao vichwa vinawauma ni namna gani wawazuie Chelsea! Huu ukweli unadhihirika toka kwa Mourinho mwenyewe akitia mkazo Wa kushambulia tu na kuwahimiza wachezaji wake kutumia uwezo wao kushambulia na kucheza mpira!
Maneno km haya ametoa Fenandinho kwamba unapo cheza na timu kubwa Lazima uwe makini na ucheze kwa tahadhari Kwani Ukifanya kosa kidogo Lazima upigwe! Kwahiyo Fenandinho anaangalia ni namna gani ya kuweza kuwazuia wachezaji Wa Chelsea!
Ni mchana sasa muda unazidi kujongea kuelekea Etihad!
Cc agosti 8 Mentor
Mimi hapa hata kazi sifanyi...nipo physically tu! I wish I was my own boss..walahi ningeondoka saiv nikalale home.
Halafu mwambie dada ako mwallu aache kunzingua!!!!
Hayo ni maneno kutoka Kigogo Lkn kutoka ulaya na kwa wataalam Wa soccer wengi wanasema sare yeyote ile! Alafu wewe unakuja na vichekesho vyako!
THEY ALSO HAVE TO STOP US
Hayo ni maneno ya Mourinho ktk wavuti ya habari ya Chelsea!
Wiki iliyopita Tulikua na mijadala mbali mbali hasa hii game ya Leo! Na ktk michango mingi tuligusia kua Lazima na wao vichwa vinawauma ni namna gani wawazuie Chelsea! Huu ukweli unadhihirika toka kwa Mourinho mwenyewe akitia mkazo Wa kushambulia tu na kuwahimiza wachezaji wake kutumia uwezo wao kushambulia na kucheza mpira!
Maneno km haya ametoa Fenandinho kwamba unapo cheza na timu kubwa Lazima uwe makini na ucheze kwa tahadhari Kwani Ukifanya kosa kidogo Lazima upigwe! Kwahiyo Fenandinho anaangalia ni namna gani ya kuweza kuwazuia wachezaji Wa Chelsea!
Ni mchana sasa muda unazidi kujongea kuelekea Etihad!
Cc agosti 8 Mentor
analalamika juu ya?