Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hata the london hammers hawana mkakati kabisa.. mkuu uwe unakubali ukiona watu wanakuzidi kila kitu chengine zaidi ya ramiles na oscar sijaona mchezaji mwengine wa chelski mkali..
Nahisi unafikiri kwa kutumia ma------ n i think you know nothing in football world more tha kutoa povu tu
 
Hongereni wakuu nachikia timu za 19 century footy ndio zinatakiwa khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mike Dean ndo mwamuzi Wa game yetu ya j3

Ukisoma maelezo ya Ramires na Mourinho ktk wavuti ya Chelsea juu ya game ijayo bilashaka Ushindi ni muhimu!
 
Kila wakati ni tabu unapokutana na timu ambazo Mourinho anaziongoza! By J. Navas
 
Wenzangu wa Chelsea tulieni; maana nimegundua kwamba mashabiki wengi ni mashabiki wa matokeo; tujifunze kuwa mashabiki wa mpira.
Chelsea iko vizuri na itashinda tu; hatuna muda wa kujibizana na mashabiki leo hii tutazungumza kesho na kesho kutwa;

clap clap clap clap
Chelsea
clap clap clap clap
Chelsea.
Kesho Chelsea Lazima wamshikishe adabu City!!
 
cna wasiwasi na chelsea siku ya kesho, etoo kama kawaida yake huwa anashinda match kubwa tu, kwa hiyo kesho ataanzishwa na Ana goli zake mbili mguuni
 
Atimae ile siku imewadia ya kwenda kuudhihirishia ulimwengu ndani ya Etihad kua sisi ni mabingwa!

In chelsea we trust!
 
napenda sana wale mabeki wa manchester city; lescott na zabaleta, watahangaika sana kuwazuia mafundi: Willian-Oscar-Hazard.

Kwa upande wetu; ulinzi ni jadi yetu; sina shaka na uchezaji wa Terry na Cahill.
Atimae ile siku imewadia ya kwenda kuudhihirishia ulimwengu ndani ya Etihad kua sisi ni mabingwa!

In chelsea we trust!
 
napenda sana wale mabeki wa manchester city; lescott na zabaleta, watahangaika sana kuwazuia mafundi: Willian-Oscar-Hazard.

Kwa upande wetu; ulinzi ni jadi yetu; sina shaka na uchezaji wa Terry na Cahill.

Ile siku imewadia bado masaa tu!

Huku Kikosi chetu tukiwa Na mejeruhi mmoja tu Torres! Wenzetu Aguero Nasri majeruihi!

Kwahiyo nguvu Yao iko kwa Fenandinho,Toure, Silva, J Navas kwa upande Wa viungo! Strikers ni Negredo na Dzeko! Hawana Sub nzuri Zaidi ya Hawa!

Sisi tuna vikosi viwili vyenye nguvu sawa!
 
Kazi ya viungo wetu ni kuhakikisha Toure na Silva hawatoi pasi kuwafikia Negredo na Dzeko!
 
Kazi ya viungo wetu ni kuhakikisha Toure na Silva hawatoi pasi kuwafikia Negredo na Dzeko!

namumshkuru mungu aguero anaumwa ila lazima mkalie ndo naenda kwa mhindi nw kubet for the first time naenda kubet nikiwa na uhakika wa kurudisha hela yangu naenda kuweka mzigo wa 100k chelsea anafungwa na man city
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom