Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu mbovu sana aisee.... afu ndio mmeweka record ya usajili barani ulaya, kwenye dirisha lililofungwa jana usiku. More than 270+ millions of pounds. Mpira sio pesa, ni mipango. Acha mpigwe tu maana hamna namna.
 
Mtu mweusi na mpira wapi na wapi

Ndio maana Pep hataki hata kuwasikia

Unatia weupe 9 mweusi mmoja hapo utashinda.

Timu gani imechukua kombe na weusi 8 uwanjani

Sie tubaki kuuza mali zetu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana.
 
Hizi kenge zina kata viuno tu darajan
905002228.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom