Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
na tarehe 3 lazime mkalie tuuuuu! tena ni kuanzia nne kwenda juu!
Liverpool km sio fitina za Refa ilikua imewapiga sasa ndo mtubeze? Subirini mje muone shughuli
na tarehe 3 lazime mkalie tuuuuu! tena ni kuanzia nne kwenda juu!
huyu mnyantuzu anasubiria ajionee ndio aamini..
Hao wote mliowapiga hawana mkakati! Subiri dawa yko inakuja!
Hao wote mliowapiga hawana mkakati! Subiri dawa yko inakuja!
hata the london hammers hawana mkakati kabisa.. mkuu uwe unakubali ukiona watu wanakuzidi kila kitu chengine zaidi ya ramiles na oscar sijaona mchezaji mwengine wa chelski mkali..
heeee city kama azam top of the log..
hata the london hammers hawana mkakati kabisa.. mkuu uwe unakubali ukiona watu wanakuzidi kila kitu chengine zaidi ya ramiles na oscar sijaona mchezaji mwengine wa chelski mkali..
Manuel Pellegrin (MP) anajua jumatatu anacheza na nani?
Sisi ni timu inayopenda kushinda mechi kubwa; tunapenda kuwafunga wababe; Man City ilikuwa bingwa wa Uingereza mwaka 2012. Lakini msimu huo walikuwa wametolewa mapema sana kwenye mashindano ya mabingwa wa Ulaya(Champions League). Sisi tulikuwa wa 6 kwenye ligi lakini tukawanyoosha na kuwafundisha adabu; Napoli, Benfica, Barcelona na Bayern Munich; wengine mnaisikia tu Chelsea; subirini...
Huyu ndetichia namuonea huruma sn! Kocha wake mwenyewe Mzee Pellegrine halali kwa kuiwaza game ya Chelsea alafu yeye analeta bla bla hapa?
Huyu ndetichia namuonea huruma sn! Kocha wake mwenyewe Mzee Pellegrine halali kwa kuiwaza game ya Chelsea alafu yeye analeta bla bla hapa?
you just wait am sure you will get a suckerpunch. Pia kumbuka unapoenda ni Etihad na sio Villapark au Uptonpark.
Aise mi napata raha sn kuona watu wanavyo ibeza Chelsea!
Chelsea walikwenda kwao arsenal Mara mbili na wameshinda moja na kupata sare moja!
Tulienda OT na kupata sare! Na Man Utd akaja Darajani akafungwa!
Liverpool na akaja Darajani akafungwa!
Man City na yaye alikuja Darajani tukamfunga!
Tulikua kwao Spurs tukapata sare!
Sasa ni kipi kinawafanya muibeze Chelsea?
Subirini mje muone dawa inavyoingia
Tunasubiria ushindi mwingine tuwe juu zaidi
forza the citizens..Inawezekena unaota wewe!
Inawezekena unaota wewe!