Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mourinho alinifurahisha sana na stunts zake...alikuwa kama yule jamaa wa tangazo la GUINESS FOOTBALL MANAGER..


 
Dada yng mi niko pouwa kabisa! Jana big Sam kashirikiana na Mzee Wenger kunifanyia ubanizi!

Vinalinda Goli mpk nimekosa kufunga! Yani vibishi kweli vigonga nyundo!
ndugu yangu spurs nduguzo wa london washapokea zao nishakuambia mziki huu wa city uache tu utakufa bure..
 
mwenzio mou anawaza how he can stop city strikers manguli wenu wamekula 9 hawataki kabisa kuiona city uzeee usipime endelea tu kujipa moyo..


Pellegrine yeye hawazi kuwastop chelsea strikers!

Wewe kweli mbhado!
 
na tarehe 3 lazime mkalie tuuuuu! tena ni kuanzia nne kwenda juu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…