lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Nkunku ni striker piaEpl ni ligi ngumu si ya kuwategemea sana hao vijana
Nkunku ni striker piaEpl ni ligi ngumu si ya kuwategemea sana hao vijana
Huyo si injury proneNkunku ni striker pia
Noma etu ndio leo tunaimaliza mapema tu ..wham anakalishwa tatu kavu.

Kavu et...Noma etu ndio leo tunaimaliza mapema tu ..wham anakalishwa tatu kavu.
Hawana bandoNyie cheltako tupeni matokeo ng'ombe nyie🤣🤣🤣🤣
Wewe unaota amkaNoma etu ndio leo tunaimaliza mapema tu ..wham anakalishwa tatu kavu.
Ila wamerudishaNyie cheltako tupeni matokeo ng'ombe nyie🤣🤣🤣🤣
Huyo big asser hakuna loloteImetumika hela nyingi sana kusajili kundi la ng'ombe badala ya wachezaji. Usajili wote huo team bado inacheza hivi?
Huyu Jackson ni kiazi tu na kama mtamtegemea awape magoli basi mtasubiri sana.
Sterling ilitakiwa awe uarabuni huko..!
Hapo hamna kitu wanapigwa la piliIla wamerudisha
Imetumika hela nyingi sana kusajili kundi la ng'ombe badala ya wachezaji. Usajili wote huo team bado inacheza hivi?
Huyu Jackson ni kiazi tu na kama mtamtegemea awape magoli basi mtasubiri sana.
Sterling ilitakiwa awe uarabuni huko..!
Ng'ombe wenzako wako London wewe uko Handeni baada ya kuswagwa na serikali na bado una guts ya kusema lolote hapaImetumika hela nyingi sana kusajili kundi la ng'ombe badala ya wachezaji. Usajili wote huo team bado inacheza hivi?
Huyu Jackson ni kiazi tu na kama mtamtegemea awape magoli basi mtasubiri sana.
Sterling ilitakiwa awe uarabuni huko..!