Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vyombo vya habari vya Uholanzi, wameripoti kuwa kinachozuia Mohammed Kudus asisajiliwe na Brighton ni hitaji la Kudus kutaka kujumuisha kifungu cha release clause kwenye mkataba wake.

Kwa hivyo kuepuka kuwa mfungwa wa Seagulls kama Moises Caicedo
Malipo hapa hapa duniani
 
JAMES CAPTAIN
Screenshot_20230809_192613_X.jpg
 
Vichekesho

Reece James kachaguliwa kuwa Kapteni wa Chelsea
Ben Chilwell kachaguliwa na Pochettino kuwa Kapteni msaidizi
Pochettino alitakiwa kumchagua na kapteni msazidizi wa pili ambaye sio injury prone
1691606630841.png
 
Update za usajili eneo la viungo

Hadi sasa kwa taarifa za jana ni kwamba Chelsea wako kwenye hatua za juu kabisa kuwasajili viungo hawa na lengo ni wawe tayari kabla ya mechi na Liverpool
  1. -Kiernan Dewsbury-Hall kutoka Leicester city
  2. -Tyler #Adams kutoka Leeds United - nampeda huyu ni mzuri sana, huyu ni RC ya pauni 20m
  3. -Romeo #Lavia - kutoka Soton mimi sio mpenzi wake sana bid ya pauni 48m zaidi ya 45m za Liverpool
  4. -Moises #Caicedo - Chelsea wamekubaliana pauni mil 90 na addons za mil 10, bado taarifa za Fabrizio Romano tu
Sasa tutakuwa na
  1. Enzo,
  2. Caicedo,
  3. Lavia,
  4. Adams,
  5. Andrey Santos,
  6. Chukwuemeka,
  7. Gallagher.
 
Dirisha la usajili lenye mafanikio ya ajabu sana
Itaingia kwenye historia ya usajili tangu Chelsea ianzishwe
Kuondoa matakataka
Mkataba wa Colwill
Usajili wa Nkunku. Jackson, Andre Santos, Disasi, Lesley Ugochukwu, Robert Sanchez
Usajili tarajiwa wa Caicedo, Lavia, Adams, Kudus
Usajili wa makinda wa wakalisana wa kesho kama akina Angelo Gabriel na wenzake
Uteuzi wa kapteni kijana kabisa wa timu
Tunapika na watani wameshanza kuona wivu
#Arsenal #Liverpool #Mancity #Man United
Kazi iliyofanyika kwanza ya kufagia hii hapa
1691637210988.png
1691637221991.png
1691637235872.png
 
Update za usajili eneo la viungo

Hadi sasa kwa taarifa za jana ni kwamba Chelsea wako kwenye hatua za juu kabisa kuwasajili viungo hawa na lengo ni wawe tayari kabla ya mechi na Liverpool
  1. -Kiernan Dewsbury-Hall kutoka Leicester city
  2. -Tyler #Adams kutoka Leeds United - nampeda huyu ni mzuri sana, huyu ni RC ya pauni 20m
  3. -Romeo #Lavia - kutoka Soton mimi sio mpenzi wake sana bid ya pauni 48m zaidi ya 45m za Liverpool
  4. -Moises #Caicedo - Chelsea wamekubaliana pauni mil 90 na addons za mil 10, bado taarifa za Fabrizio Romano tu
Sasa tutakuwa na
  1. Enzo,
  2. Caicedo,
  3. Lavia,
  4. Adams,
  5. Andrey Santos,
  6. Chukwuemeka,
  7. Gallagher.
Hii habari nimeipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom