EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
Mimi nimemwelewa Wenger; Bada hajarudiana na Manchester United; eti anaogopa Mata anaweza kuleta madhara kwenye timu yako pindi watakapokutana. Huo ndo uoga wa Wenger. Hoja ya MP nayo haina msingi; nafikiri MP ana "mtima nyongo" na JM.
Now kwa nini Chelsea walaumiwe kwa hili? Kama Moyes akija na offer ya kumtaka Hazard ambayo ni kubwa to the extent that you can't turn it down, utakataa kufanya biashara kisa eti itakuwa so "unfair" kwa Arsenal?