Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Hebu kwanza nikuone Mkuu [emoji1787][emoji23] we tulia. Tukutane kesho kutwa Epl.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kwanza nikuone Mkuu [emoji1787][emoji23] we tulia. Tukutane kesho kutwa Epl.
Anne nimeipenda footer signature yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau picha Mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu I wish nikuone[emoji1787]
Huwa unanipa raha sana kwa kwenye huu uzi wa waja laana chelshit
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishasahau hata inasomekajeAnne nimeipenda footer signature yako
Aleykum selam.Nishasahau hata inasomekaje
Aslam aleiykum Mkuu Lembu.
Msipokaza miguu,mtamsingizia Mola bure[emoji23]Aleykum selam.
Inshallah Mola atakuwa upande wetu hiyo Agosti 13, tuombeane uzima
pre-season ni kujaribu kila mchezaji, ninyi hamna wachezaji wa kuwajaribu, timu ile ile ya ligi ndio inacheza pre seasonHuku mtaani/ground, mashabiki wa hii timu hawakijui kikosi chao.
Ukimuuliza mshabiki wa Arsenal, Nyumbu au Livekuku, atakutajia kikosi chote. Atakupa strong first 11, substitution, everything yani.
Ila mashabiki wa hii, hata first eleven yao hawaijui kulaaleki. Hawawajui wachezaji wao kabisaaaaaaaaa.
Chelshit=Wrexham
Sasa wakisajili pesa si zao unafikiri hao matajiri wana mkono wa birika kama kroenke kinachofanyika Chelsea huwezi kuelewa nyie kondooMpaka Sasa Chelsea wametumia €180m kwa usajili Kama sijakose
Sajili zenyewe ndio Kama hizi,[emoji107][emoji107][emoji107]
Dirisha likifungwa utasikia mmetumia €300mView attachment 2709724
Acha ujuaji ,mpira mchezo wa wazi, hata last season mlikuwa wabishi baadae maji na mafuta yalijitenga ,Sasa wakisajili pesa si zao unafikiri hao matajiri wana mkono wa birika kama kroenke kinachofanyika Chelsea huwezi kuelewa nyie kondoo
Hakuna unachojua kuhusu uwekazaji wa chelsea tulia hivyo hivyo hizo hela za usajiri hazitoki mfukoni kwako hao watoto wacha wasajiliwe na ndo mfumo wetu wa sasaAcha ujuaji ,mpira mchezo wa wazi, hata last season mlikuwa wabishi baadae maji na mafuta yalijitenga ,
Hizi sajili za watoto na kuwatoa mikopo wakati senior team bado haijatengemaa itawagharimu, tuliona mliposajili kwa kukurupuka kina Cucurela ,Sterling, n.k kwa £600m Nini kilitokea ,
Kroenke sio bahili Kama unavyodai, kafatilie kaichukua Arsenal rasmi lini