Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Usiku wa leo kuamkia kesho sa 9 kamili tuna mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Borrusia Dortmund. Sijui itaonyeshwa channel gani
 
Attachments

  • Screenshot_20230802_224504_BeSoccer.jpg
    Screenshot_20230802_224504_BeSoccer.jpg
    98.5 KB · Views: 26
Line Up Vs Dortmund

---------------------- Jackson ----------------------

Nkunku -------------Chukwuemeka------------ Sterling

----------Enzo ---------------------Gallagher----------

Chilwell ----------Colwill ----------Silva ---------James

-------------------------Kepa -----------------------

Subs:
  1. Slonina,
  2. Bergstrom,
  3. Chalobah,
  4. Humphreys,
  5. Cucurella,
  6. Gusto,
  7. Maatsen,
  8. Santos,
  9. Ugochukwu,
  10. Casadei,
  11. Angelo,
  12. Moreira,
  13. Hall,
  14. Mudryk
 
Sakata kubwa la uhamisho kwenye bodi ya Chelsea hivi sasa
1) Kumleta Moises Caicedo #Chelsea
2) Kumtaliki Romelu #Lukaku
Ikiwa sakata hizo mbili zitatatuliwa kabla ya dirisha kufungwa, dirisha letu la kiangazi litakuwa la mafanikio zaidi katika muongo uliopita.
#Brighton
#Seagulls
#CFC
#ChelseaFC
#TheBlues
1691022387320.png
1691022228792.png
 
Kama kuna siku nimewasema Chelsea vibaya naomba mnisamehe yani hamko hata Europa na mmefunga mbabe wa Manjesta utd [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]

Nyie ni timu kubwa aisee walinyukwa wale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie endeleeni kutubeza lakini tambueni msimu huu hatutakuwa vibaya kama msimu uliopita
 
Kwa nilichokiona katika mexhi yetu dhidi ya Dortmund. Kwamza kiuchezaji naona wanajituma kitimu zaidi ila changamoto iliyopo bado kuna haja kubwa ya proper DM ndio maana Brighton wanatubania Caicedo kwa sababu hata wao wameona uhitaji tulionao. Tukija kwa mchezaji mmoja mmoja naumia sana na Sterling sijui ana shida gani jamaa. Mwaka jana nilidhani pengine sababu ni kocha ila kiukweli hata chini ya Poch sioni akibadilika. Mbaya zaidi hiki ni kipindi tunamuhitaji yeye zaidi kuliko anavyoruhitaji kwa sababu ya uzoefu zaidi
 
Anazingua sana Sterling sijui amekuwaje
 
Kama kuna siku nimewasema Chelsea vibaya naomba mnisamehe yani hamko hata Europa na mmefunga mbabe wa Manjesta utd [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]

Nyie ni timu kubwa aisee walinyukwa wale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tupo pamoja mr. Hamisi 77. Pia utambue tu kuwa sisi kwenye ligi hatutakuwa na presure ya kugombania chochote ila ninyi mnakazi Sana
 
Kwa nilichokiona katika mexhi yetu dhidi ya Dortmund. Kwamza kiuchezaji naona wanajituma kitimu zaidi ila changamoto iliyopo bado kuna haja kubwa ya proper DM ndio maana Brighton wanatubania Caicedo kwa sababu hata wao wameona uhitaji tulionao. Tukija kwa mchezaji mmoja mmoja naumia sana na Sterling sijui ana shida gani jamaa. Mwaka jana nilidhani pengine sababu ni kocha ila kiukweli hata chini ya Poch sioni akibadilika. Mbaya zaidi hiki ni kipindi tunamuhitaji yeye zaidi kuliko anavyoruhitaji kwa sababu ya uzoefu zaidi

Ivi hatuwezi kumtoa kwa mkopo hata kwa arsenal huko aiseee
 
Kwa nilichokiona katika mexhi yetu dhidi ya Dortmund. Kwamza kiuchezaji naona wanajituma kitimu zaidi ila changamoto iliyopo bado kuna haja kubwa ya proper DM ndio maana Brighton wanatubania Caicedo kwa sababu hata wao wameona uhitaji tulionao. Tukija kwa mchezaji mmoja mmoja naumia sana na Sterling sijui ana shida gani jamaa. Mwaka jana nilidhani pengine sababu ni kocha ila kiukweli hata chini ya Poch sioni akibadilika. Mbaya zaidi hiki ni kipindi tunamuhitaji yeye zaidi kuliko anavyoruhitaji kwa sababu ya uzoefu zaidi
Umemsahau cucurella huyo ndio hovyo kabisa ni kama mtoto anayecheza subuleni ilimradi avuje jasho. Gusto kama ataendelea hivi hana sifa za kukaa benchi, DM ni lazima apatikane hata hiyo 100 tutoe. Enzo nae anatakiwa abadilike kuna muda anapoza movement za mpira inshort wachezaji wengi naona wameiprove viwango ukitoa cucurella, Sterling na Kepa. Hivi kwanini tusiwekeze kwa Raya tuachane na huyo Sanchez
 
Tupo pamoja mr. Hamisi 77. Pia utambue tu kuwa sisi kwenye ligi hatutakuwa na presure ya kugombania chochote ila ninyi mnakazi Sana
Mimi nimewaangalia Sana , Poch ni kocha mzuri Kama mtafanikiwa kusajili DM na CM wengine hata wawili ,Basi Mimi nawaweka ahead of manjesta ,mpira ni mchezo wa wazi, kocha mnaye ila mna shida kwenye recruitment

Sanchez sio GK wakumpa changamoto Kepa

Had leo hamna DM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom