Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna vitu tunapika hapa darajani ila watani wetu kama akina Livakuku, Arse8, Amnure wanajifanya hawaoni wala hawajui

--------------------Jackson/Dusan--------------------------

Mudryk/Nkunku-------Maatsen/Chukwuemeka -------Madueke/Olise

------------Enzo/Tyler -------------- Caicedo/Santos--------------

Chilwell/Cucurella ----Colwill/Badiashile ----Silva/Axel ----James/Malo

------------------------Kepa/Sanchez----------------------------
Mkimpata caicedo , Tyler Adam, no.9 mwingine , manjesta kazi anayo ,coz mna kocha anayejua kufanya Kaz na talent tofaut na a Dutch David Moyes Erik 7 hag
 
Muda wowote kuanzia sasa kuna sheria mpya inataka kupitishwa England, inaelezea kufanya biashara yoyote na Chelsea itatambulika kama ni biashara haramu.
Mancity nao wameshaanza kulia na Kovacic, kwenye jukwaa lao tokea jana wameanzisha maombolezo ya kuondokewa na Gundogan
Shida Flano mbishi, mbona nilikwambia tupige maombi waondokewe na Bernado Silva

City ilikuwa na watu Hawa wabadilisha matokeo ,Gundo, Bernado, mahrez ,kdb

Wamebaki kdb na Bernado , Pep amekuwa mkali Kama mbogo kwa Barcelona na Psg kuhusu kumtaka Bernado,, a lot of matches walikuwa hao ndio wabadili matokeo

Kdb huyu ndiye Engine Yao ,
 
Nkunku is expected to be out for a couple of months after suffering an MCL injury to the knee.
 
Malyafale mwana kuku halisia za siku mingi mtani
Hao yoso chunga tobo zako jumapili kwa sababu watakutoboa umesimama

Mkuu za siku nyingi.
League imeanza mtaniona sana hapa kwenu.
Mna kikosi kizuri lkn shida ni uzoefu.
Mmefanya kosa kubwa sana kumuondoa Kante,kwa ule uzoefu wake angewasaidia sana kuwatuliza hawa vijana
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
 
Kuna vitu tunapika hapa darajani ila watani wetu kama akina Livakuku, Arse8, Amnure wanajifanya hawaoni wala hawajui

--------------------Jackson/Dusan--------------------------

Mudryk/Nkunku-------Maatsen/Chukwuemeka -------Madueke/Olise

------------Enzo/Tyler -------------- Caicedo/Santos--------------

Chilwell/Cucurella ----Colwill/Badiashile ----Silva/Axel ----James/Malo

------------------------Kepa/Sanchez----------------------------
Na mwaka jana mlipika hivihivi
Kikosi kikajaa treni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkimpata caicedo , Tyler Adam, no.9 mwingine , manjesta kazi anayo ,coz mna kocha anayejua kufanya Kaz na talent tofaut na a Dutch David Moyes Erik 7 hag
Huyo Tyler Adam simjui kwani anacheza nafasi gani? Ni mzuri?
 
Mkuu za siku nyingi.
League imeanza mtaniona sana hapa kwenu.
Mna kikosi kizuri lkn shida ni uzoefu.
Mmefanya kosa kubwa sana kumuondoa Kante,kwa ule uzoefu wake angewasaidia sana kuwatuliza hawa vijana
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
Kante na kovacic ni injury prone Ndio Maana runways still tuna kikosi kizuri na tukimuongeza Caicedo tunakuwa wakali zaidi
 
Kuna vitu tunapika hapa darajani ila watani wetu kama akina Livakuku, Arse8, Amnure wanajifanya hawaoni wala hawajui

--------------------Jackson/Dusan--------------------------

Mudryk/Nkunku-------Maatsen/Chukwuemeka -------Madueke/Olise

------------Enzo/Tyler -------------- Caicedo/Santos--------------

Chilwell/Cucurella ----Colwill/Badiashile ----Silva/Axel ----James/Malo

------------------------Kepa/Sanchez----------------------------
Siyo hatuoni. Tunaona mkuu
 
Kai ni vile wewe ni kipenzi chako tu kama ilivyo mimi kwa Masebene ndio maana unajitahidi sana kumpigapiga makeup aonekane nae ni pisikali hata kama hana tako.
Huko Uingereza naskia kuna mpango wa maandamano nchi nzima kupinga biashara za kitapeli zinazofanywa na club ya Chelsea.
Timu zote walizonunua wachezaji toka Chelsea mashabiki wao wanalia na kusaga meno.
Tena Kwa sisi wamezidi. Toka Gallas mpaka Cech na Willian... Ila Kwa Kai naona tutakomaa hii biashara itulipe
 
Na
Kante na kovacic ni injury prone Ndio Maana runways still tuna kikosi kizuri na tukimuongeza Caicedo tunakuwa wakali zaidi
Hapo mtakuwa mlishapata mwanasaikolojia mzuri wa kuzumgumza na mudy akae sawa baada ya kudanganywa kuacha timu ya ndoto zake na kujiunga na hichi kitimu uchwara chenu. Next season nna matumaini na nyie kuliko manyumbu na Livakuku
 
Tena Kwa sisi wamezidi. Toka Gallas mpaka Cech na Willian... Ila Kwa Kai naona tutakomaa hii biashara itulipe
ila nyinyi kweli mlianza kupigwa tokea kitambo na hawa Chelkenge, sema yule Goginyo ni fundi mi namkubali sana na wamewapea kwa bei ya promosheni.
Ila kwa Kai muda sio mrefu mtaanza kulia na kusaga meno.
 
Muda wowote kuanzia sasa kuna sheria mpya inataka kupitishwa England, inaelezea kufanya biashara yoyote na Chelsea itatambulika kama ni biashara haramu.
Mancity nao wameshaanza kulia na Kovacic, kwenye jukwaa lao tokea jana wameanzisha maombolezo ya kuondokewa na Gundogan
Mkuu nakukatalia.. Huyu kamanda Kova mtu na nusu.. Sbr uone Msimu Huu Chelsea atakavokua analia lia wametupa silaha ya Nuclear.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom