Teh.. uzuri mimi kabl ya kuwa shabiki wa Chelse ni shabiki wa mpira. Ukimuweka Keppa na Sanchez huwe,i kuchagua Keppa lazima umchukue Sanchez kwa sababu ni mrefu futi 6, anaanzisha mashambiluzi, anapiga pass fupi na ndefu. Hivi ni vitu vichache ambavyo kwa Keppa ni mtihani mzito. Tuache kujiropkea ili mradi tuMimi nimewaangalia Sana , Poch ni kocha mzuri Kama mtafanikiwa kusajili DM na CM wengine hata wawili ,Basi Mimi nawaweka ahead of manjesta ,mpira ni mchezo wa wazi, kocha mnaye ila mna shida kwenye recruitment
Sanchez sio GK wakumpa changamoto Kepa
Had leo hamna DM
Huu ushabiki utakuja kuwaua ,nakumbuka wakati mnamsajili Kepa nilikuwa nasema HUYU KEPA MMEPIGWA , ubishi ulikuwa mwingi SanaTeh.. uzuri mimi kabl ya kuwa shabiki wa Chelse ni shabiki wa mpira. Ukimuweka Keppa na Sanchez huwe,i kuchagua Keppa lazima umchukue Sanchez kwa sababu ni mrefu futi 6, anaanzisha mashambiluzi, anapiga pass fupi na ndefu. Hivi ni vitu vichache ambavyo kwa Keppa ni mtihani mzito. Tuache kujiropkea ili mradi tu
Wewe huna unachojua. Ngoja ligi ianze uje uumbuke hapaHuu ushabiki utakuja kuwaua ,nakumbuka wakati mnamsajili Kepa nilikuwa nasema HUYU KEPA MMEPIGWA , ubishi ulikuwa mwingi Sana
Mpaka alipokuja kuwa dropped
Sanchez Hana anachomzid kepa sio kwenye shot stopping Wala footwork
Mbona hujamsema Cucu, ana mguu wa laana yule, Silly mistakes ni NyingiKwa nilichokiona katika mexhi yetu dhidi ya Dortmund. Kwamza kiuchezaji naona wanajituma kitimu zaidi ila changamoto iliyopo bado kuna haja kubwa ya proper DM ndio maana Brighton wanatubania Caicedo kwa sababu hata wao wameona uhitaji tulionao. Tukija kwa mchezaji mmoja mmoja naumia sana na Sterling sijui ana shida gani jamaa. Mwaka jana nilidhani pengine sababu ni kocha ila kiukweli hata chini ya Poch sioni akibadilika. Mbaya zaidi hiki ni kipindi tunamuhitaji yeye zaidi kuliko anavyoruhitaji kwa sababu ya uzoefu zaidi
Japo hawawezi kumfikia Caicedo ila Lesley na Santos ni DM wazuri in one or two seasons to come kama tukiwapa muda wa kucheza this season au wapelekwe mkopo kwenye ligi yenye ushindani.Mimi nimewaangalia Sana , Poch ni kocha mzuri Kama mtafanikiwa kusajili DM na CM wengine hata wawili ,Basi Mimi nawaweka ahead of manjesta ,mpira ni mchezo wa wazi, kocha mnaye ila mna shida kwenye recruitment
Sanchez sio GK wakumpa changamoto Kepa
Had leo hamna DM
Wote wapuuzi tu. Ila Sterling anakera zaidi kwa sababu yeye ni mzoefu hutegemei kuona upuuzi kama ule kwake.Mbona hujamsema Cucu, ana mguu wa laana yule, Silly mistakes ni Nyingi
Na analipwa mshahara kufuru, mchezaji anayelipwa pauni laki 325 kwa wiki halafu anacheza kama kitoto cha miaka 16 too bad.Wote wapuuzi tu. Ila Sterling anakera zaidi kwa sababu yeye ni mzoefu hutegemei kuona upuuzi kama ule kwake.
Wakati naanza kumuita Sterling PAPARAZI mlidhani namchukia, hakuna mchezaji pale bali mwanasesere.



Salama mkuu, Thankx, tunasubiria msimu uanze. Turudi hapa kushabikia chama letu
Zakaria alikuja kutalii darajani kwa mkopo amerudi Juve.






We jipitishe tu humu Mwisho wako ni weekend ijayo. kuku kishingo.
Can't wait to see your comments.
Ngoja tusubiri tuone.
Kumbe amerudi kwao jamani
Anaachaje mshahara wa bure mtam nyamnyam?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bring back our Zekaria









Unafikiri kwanini msiwe na presha?Tupo pamoja mr. Hamisi 77. Pia utambue tu kuwa sisi kwenye ligi hatutakuwa na presure ya kugombania chochote ila ninyi mnakazi Sana
Kugombea ubingwa mzee hapana hatuna kikosi cha kuogopesha na bado tuna mapungufu eneo la kiungo matarajio yetu labda turudi top 4Unafikiri kwanini msiwe na presha?
You have all what it takes kugombea ubingwa.
Kocha mzoefu
A good squad on paper
Quality maeneo mengi
Good financial backup
A good history related to trophies recently
Mnachokosa kwangu mimi ni chemistry tu na sina wasiwasi poch atawaunganisha vizuri
Hii rebuilding iliyofanyika na bado inaendelea kufanyika ni kubwa mno. Imechukua takribani wageni ni 80%Unafikiri kwanini msiwe na presha?
You have all what it takes kugombea ubingwa.
Kocha mzoefu
A good squad on paper
Quality maeneo mengi
Good financial backup
A good history related to trophies recently
Mnachokosa kwangu mimi ni chemistry tu na sina wasiwasi poch atawaunganisha vizuri
Mi nipo pale Mkuuwe cheka tuu, msimu huu hatutakuwa na msalie mtume. Ushindi tuu

Naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa kuja kula mshahara bure. Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam.















