Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Breaking News

Levi Colwill (20yo) asaini mkataba na Chelsea wa miaka sita hadi 2029
Kwa wasiomjua Colwill ni beki ambaye yuko composed kama style ya Terry, ktk umri mdogo ni mzuri sana kwenye pasi zile za kubreak lines na long passes. Mabeki wengi wachanga ni ngumu sana kuwa na accuracy ya kupasi hizo pasi bila kiupoteza mpira. Mabeki wengi wanakuwa na uwezo huo baada ya miaka kama 5 wakicheza mechi mfululizo EPL
Badiashile naye anaweza hizo ila sio kama Colwil
Matajiri miluzi lakini wanajua kupika tusiseme uongo.
1690843956320.png

1690843811873.png
 
Chelsea wamefikia makubaliano na Juventus kumnunua Dušan Vlahovic kwa kubadilishana na Remelu Lukaku pamoja na ada ya £20m. Tukumbuke kuwa Juventus walikuwa wanataka kwa Vlahovic £60m na Chelsea tulikuwa tukimuuza Lukaku kwa £40m. Kwa wanaojua mahesabu nadhani haya hapa hayachanganyi
1690844296383.png

1690844329168.png
 
Chelsea wamefikia makubaliano na Juventus kumnunua Dušan Vlahovic kwa kubadilishana na Remelu Lukaku pamoja na ada ya £20m. Tukumbuke kuwa Juventus walikuwa wanataka kwa Vlahovic £60m na Chelsea tulikuwa tukimuuza Lukaku kwa £40m. Kwa wanaojua mahesabu nadhani haya hapa hayachanganyi
View attachment 2704320

View attachment 2704321
Ila Chelsea mnahitaji maombi kila siku mnasajili.

Nyie si tayari mmepata striker "New Drogba" N. Jackson mwamba kaanza kukiwasha fresh tu anafunga, ana assist ana udambu dambu sio selfish. Mna Armando Broja, mna Nkunku.

Last season mlikua mnae yule Datro Fofana ila hata hamkumpa chance Harvetz kila mechi bandika bandua.

Sasa huyu Vlahovic mnataka kumsajili wa kazi gani.
 
Breaking News

Levi Colwill (20yo) asaini mkataba na Chelsea wa miaka sita hadi 2029
Kwa wasiomjua Colwill ni beki ambaye yuko composed kama style ya Terry, ktk umri mdogo ni mzuri sana kwenye pasi zile za kubreak lines na long passes. Mabeki wengi wachanga ni ngumu sana kuwa na accuracy ya kupasi hizo pasi bila kiupoteza mpira. Mabeki wengi wanakuwa na uwezo huo baada ya miaka kama 5 wakicheza mechi mfululizo EPL
Badiashile naye anaweza hizo ila sio kama Colwil
Matajiri miluzi lakini wanajua kupika tusiseme uongo.
View attachment 2704319
View attachment 2704318
Hii ni good news
 
Attachments

  • Screenshot_20230801_110831_Instagram.jpg
    Screenshot_20230801_110831_Instagram.jpg
    91.7 KB · Views: 28
Chelsea wamefikia makubaliano na Juventus kumnunua Dušan Vlahovic kwa kubadilishana na Remelu Lukaku pamoja na ada ya £20m. Tukumbuke kuwa Juventus walikuwa wanataka kwa Vlahovic £60m na Chelsea tulikuwa tukimuuza Lukaku kwa £40m. Kwa wanaojua mahesabu nadhani haya hapa hayachanganyi
View attachment 2704320

View attachment 2704321
Kama kweli litafanikiwa hili deal itakua poa sana. Imagine pale mbele Poch anaamua leo aanze Jackson au Dusan
 
Yule Dogo wa Brighton tukimpata then acheze na Enzo naamini kabisa tutakuwa sehemu nzuri this season. Wacha watubeze tu. Yule dogo ni type ya kante amini nawaambia
Ni kqeli Caicedo ni mzuri sana kwenye kuua mashambulizi na hata kupandisha timu kwa kupiga pass ndefu. Brighton wanajua kwa jinsi gani tunahitaji DM ndio maana wamekaza kutaka kutupiga parefu
 
Ila Chelsea mnahitaji maombi kila siku mnasajili.

Nyie si tayari mmepata striker "New Drogba" N. Jackson mwamba kaanza kukiwasha fresh tu anafunga, ana assist ana udambu dambu sio selfish. Mna Armando Broja, mna Nkunku.

Last season mlikua mnae yule Datro Fofana ila hata hamkumpa chance Harvetz kila mechi bandika bandua.

Sasa huyu Vlahovic mnataka kumsajili wa kazi gani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Oya hawa wahuni juventus hatukutakiwa kuwapa hata senti moja aisee , ile tungewapa ziyech na Lukaku wale viazi ,ziyech wa nini sasa ? Wakati hayupo kwenye mipango ya Poch , yule dogo Challobah pia tunaweza wauzia Inter au Juve , hatumuhitaji , backline imejitosheleza tayari
 
Yule Dogo wa Brighton tukimpata then acheze na Enzo naamini kabisa tutakuwa sehemu nzuri this season. Wacha watubeze tu. Yule dogo ni type ya kante amini nawaambia
Angalia alivyokuwa anawafanyia akina Gallagher, Enzo, Kovacic, na wengineo wa Chelsea
 
Iv amna DM mwingine ad watoe izo £100m kwa huyo dogo? Waende hata Portugal au Germany hawawezc kosa sema Scout wa Chelsea wamekariri majina 2...Wachukue wa 30m wawili hawawez zingua wote

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Angalieni jamani Caicedo alichokuwa akiwafanyia akina Gallagher, Enzo, Kovacic, na wachezaji wengine wa Chelsea.
Ukabaji wa maajabu kabisa tu tumsajili bila kupoteza muda tafadhali

Mwandishi wa Habari nguli wa michezo Ben Jacobs amedai kuwa kiungo wa Brighton Moises Caicedo hatakuwa na furaha ikiwa hatahamia Chelsea msimu huu wa joto.

Aliiambia GiveMeSport kwamba Seagulls watahitaji kufanya uamuzi hivi karibuni kuhusu watakachofanya na mchezaji huyo wa kimataifa wa Ecuador.

"Lakini, ni wazi, kwa sababu Caicedo anataka kuhama, Brighton hawezi kuruhusu hili likae kwa muda mrefu sana. Watakuwa na mchezaji asiye na furaha ikiwa makubaliano ya kuhamia Chelsea hayatafanyika."
Kwa maoni yangu, nitashangaa jinsi Roberto De Zerbi atakavyokuwa na furaha kuwa na mchezaji asiye na furaha akicheza kwenye kikosi chake msimu mzima katika nafasi muhimu sana. Nini kitatokea? Wanatakiwa kufanya uamuzi wa haraka kabla ya Chelsea hawajageukia kwenye chaguzi mbadala.
1690940791500.png
 
Najua huyu Diego Moreira ni winga mzuri sana ila bado hajatick vizuri kama hawa wengine, atahitaji kwenda mkopo zaidi kwa kukuza kipaji na uwezo wake zaidi
Bashir yeye ana bahati mbaya Ma CB wamekuwa wengi
Tuna

Fofana - anaweza akakosa msimu mzima kwa hiyo huyu tumuondoe kwenye list ya mabeki wa Chelsea
  1. Disasi
  2. Silva
  3. Colwill
  4. Badiashile
  5. Bashir
Sidhani kama Poche atawataka woote hao, atawataka wanne tu
Pamoaj na ubora wake aliouonyesha kwenye pre season, Bashir anaweza akarudi kwenye mkopo tena
1690946367977.png
 
Yani nyie jamaa msione mtu na Rasta mnapita nae na Mimi nifuge rasi Sasa naweza kuja kupiga hela hapo darajani,[emoji16][emoji16]
1690953635185.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom