Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ninachopenda na kufurahi ni zile kauli za akili za Jose!
Hii inatujenga kiakili sn!
Timu nyingi zimekua zikifika Etihad zinafungwa kubwa na Ndogo vibaya sn tena kwa idadi kubwa ya mogoli lkn kwa timu yetu Hilo halitotokea! Mkakati Wa kuwafunga city na kuwakaba kabisa mpk wapoteane uko jikoni Na unapikwa!