Wakuu tumeona hivi Karibuni umuhimu Wa kiungo mkabaji ktk timu na tumewaona baadhi ya viungo wakabaji mahiri sn ktk historia ya mpira Wa miguu Na jinsi walivyotekereza majukumu Yao kikamirifu!
Leo Ningependa tujaribu kuona umuhimu Wa Attacking Midfielder ktk timu!
Na kwa kuanza tungeanza na safari ya Mzee mzima Zenedin Zidane ingawa alianzia mbali ktk soccer ila mi nataka tuangalie kazi yake nzuri aloifanya akiwa Juventus, Madrid na Mchango wake ktk timu ya Taifa ya France Pamoja na nafasi Yake alio nayo sasaiv ktk club ya Madrid , Je anaweza kujenga timu nzuri ikafika ktk kiwango alichokua nacho yeye?
Na Je kuna viungo wengine waliwahi kufikia au kukaribia kiwango cha Zidane? Kwa mfano Clarence Seedorf etc?
Na Je tutakuja pata viungo Km Zidane au Seedorf ktk soccer la hivi Karibuni au itatuchukua muda mrefu sn?
Waku
Cc
rockcity Native Mentor agosti 8
Belo Sizinga Balantanda Nzi Wacha Mbu DullyJr ndetichia na wengine wote wapenda mpira, nawakilisha.