Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Diego Costa has reached a ‘verbal agreement’
with Chelsea and may move to the Premier
League in the summer, reports claim.
Agent Francois Gallardo, who is not affiliated with
the Atletico Madrid striker, has insisted that the
capital club are resigned to the fact that the
forward will leave in the summer.
“Atetico know it is impossible to hold on to
Costa,” he told La Sexta.
And the broadcaster, as well as British newspaper
Metro, believe that Stamford Bridge will be the
Brazilian attacker’s destination of choice, with
Jose Mourinho's men willing to table his €32m
release clause.
 
Nilipotea kwa siku mbili; nimefurahi sana kukuta wadau mnaendelea na mijadala yenye afya na hadhi. Huo ndo ushabiki ambao sisi watu wa JF tunapaswa kuijenga; ushabiki wa kitaalamu. Asanteni majirani zetu; Rockcity native, Katavi, Nakapanya, Dully Jr; pamoja na wenzangu wa Chelsea Mentor, Ntuzu na wengine..

Pamoja Mkuu!
 
Kiukweli mie nimefurahi sana kuondoka kwa Matta. nilikua naona kama ana haribu uchezaji wa Hazard na Oscar. Ulifuatilia uchezaji wa Oscar na Hazard wakipangwa na Matta unakuwaga hovyo sana. Chenga na mbwembwe nyingi hadi wananyang'wa mpira inapigwa counter attack then tunafungwa.

Huyu sasa ndio Oscar na Hazard wetu. Wananifurahisha sana leo.
 
huenda.
Ndo maana leo kucheza kutamwongezea uwezo wa kujiamini. Unajua tuna watu wengi katika namba yake. Ndo maa ilibidi kijana Kelvin De Bruyne aondoke; kucheza ni vigumu mafundi wengi.
Naona Leo hajacheza vizuri kabisa na ninafikiri bench linamuathiri!
 
huenda.
Ndo maana leo kucheza kutamwongezea uwezo wa kujiamini. Unajua tuna watu wengi katika namba yake. Ndo maa ilibidi kijana Kelvin De Bruyne aondoke; kucheza ni vigumu mafundi wengi.

Yap! Ila ni mchezaji mzuri sn! Mchango wake ni mzuri sn ktk timu!
 
Kiukweli mie nimefurahi sana kuondoka kwa Matta. nilikua naona kama ana haribu uchezaji wa Hazard na Oscar. Ulifuatilia uchezaji wa Oscar na Hazard wakipangwa na Matta unakuwaga hovyo sana. Chenga na mbwembwe nyingi hadi wananyang'wa mpira inapigwa counter attack then tunafungwa.

Huyu sasa ndio Oscar na Hazard wetu. Wananifurahisha sana leo.

Punguzeni unafiki, mashabiki wa Chelsea wa ukweli walikuwa wanampenda sana Mata ,hata yeye amewashukuru leo.Nashangaa leo mnasema eti Mata ndio alikuwa anasababishwa mfungwe,huu uamuzi wa kumuuza Mata angeufanya Benitez au AVB mngemtukana sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom