Noni Madueke:“
A lot of changes are out of the players’ hands, but you roll with the punches,” says Madueke of a turbulent season at Chelsea. "
“I guess when the club wants to do something a bit special, there are bound to be changes. We’re trying to create a squad that can compete for the next 10 years."
“I definitely performed well and showed my ability, but next season you’ll see the real me."
“Next season, I want to contribute massively to Chelsea winning. That’s it. We’re all buzzing to come back in pre-season with the new manager, forget last year, and bring Chelsea back to where they’re meant to be: fighting for titles.”
Kiswahili
Pamoja na kwamba mabadiliko mengi hayapo mikononi mwa wachezaji, lakini unaviringishiwa ngumi na makonde,” anasema Madueke kuhusu msimu uliokuwa mbaya sana kwa Chelsea. "
"Nadhani klabu inapotaka kufanya kitu maalum, lazima kutakuwa na mabadiliko. Tunajaribu kuunda kikosi ambacho kinaweza kushindana kwa miaka 10 ijayo."
"Hakika nilifanya vyema na kuonyesha uwezo wangu, lakini msimu ujao utamuona Madueke halisi."
"Msimu ujao, nataka kuchangia sehemu kubwa ya ushindi wa Chelsea. Ni hivyo tu. Sote tunapigania kurudia ubora wetu kuanzia kwenye pre-season na meneja mpya, tusahau ya msimu uliopita na kuirejesha Chelsea pale ilipotakiwa kuwepo: kupigania mataji.”
ASANTE SANA MADUEKE
Muda mfupi tu na umegeuka kuongea kama Legend
Huu uzalendo huwezi ona kwa watu kama Mason Mount, Ziyech, Havertz, na wenzake. Ni watu wanaojali tu maslahi yao kwanza.
Hii hali utaikuta kwa akina
- James
- Enzo japo naye bado mgeni
- Rudiger - kahama lakini sidhani kama alipanga kuhama ni hali tu ya ban ilimfosi kuondoka
- Kante - Mungu amjalie maisha mema
- Na wale wa zamani kama akina Lampard,Terry, Drogba, na wengineo walikuwa wengi
- Hichi kizazi cha sasa kuwapata hawa malegend wazalendi ni nadra sana