Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi chelsea kuna kocha gan aliyemvumbia mchezaj bora wa dunia? Uliza wenger alipomtoa george opong weah tena alimtoa direct africa.
 
Sasa ndo maana Wenger anaitwa mwalimu wa watoto!
Kila mwalimu ana jukumu lake; mwalimu wa chekechea anaandaa watoto kuingia shule ya msingi, wa msingi anaandaa watoto kwenda sekondari, wa sekondaari anaandaa vijana kwenda chuoni na hatimaye kujitegemea.
 
George Weah alikuwa mchezaji bora wa dunia mwaka 1995. Wakati George anakuwa mchezaji bora wa Dunia alikuwa mchezaji wa AC Milan. Wenger alimtoa Weah, huku Afrika na kumpeleka As Monaco, hata hivyo miaka kadhaa ilipita ndipo Weah akaja kuwa mchezaji bora wa Dunia, akiwa AC Milan ambayo ilikuwa bingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE mwaka 1994. Ili kuweka kumbukumbu sawa sawia; AC MILAN walichukua ubingwa kwa kuifunga Barcelona goli 4.
 
bila wenger angeonekania wap? Ndo maana jamaa (weah) alimpa tuzo moja wenger,kumbuka jamaa alibeba ndoo 3 afrika,ulaya na dunia. Akasema anampa ya dunia wenger coz ndo aliyemtoa kimpira na kumfanya awe pale ndo maana akampa tuzo hiyo kwa heshima yake.
 
Sasa ndo maana Wenger anaitwa mwalimu wa watoto!
Kila mwalimu ana jukumu lake; mwalimu wa chekechea anaandaa watoto kuingia shule ya msingi, wa msingi anaandaa watoto kwenda sekondari, wa sekondaari anaandaa vijana kwenda chuoni na hatimaye kujitegemea.

Mwanangu Hizi nondo unazomshushia Huyu Rockcity native ni balaa! Yani unampiga za USO vibaya!

Wenger ni Kocha Wa watoto!
 
Sasa ndo maana Wenger anaitwa mwalimu wa watoto!
Kila mwalimu ana jukumu lake; mwalimu wa chekechea anaandaa watoto kuingia shule ya msingi, wa msingi anaandaa watoto kwenda sekondari, wa sekondaari anaandaa vijana kwenda chuoni na hatimaye kujitegemea.

sasa ndugu yangu agost 8 wewe kama wewe unamthamini nani? Kati ya mwalimu wako wa chuo, mwalimu wako wa sekondary au mwalimu wako wa msingi aliyekutoa kamasi na kukufuta machozi na aliyekufundisha hadi leo kujua na kusoma na kupata jeuri ya kuingia jamii forum?
 
Mkuu Rockcity native nimecheka sana hiyo hoja yako inachekesha..ha ha haha.
Sasa turudi kwenye mpira wa kitaalamu kidogo wandugu;
cc. Ntuzu, Mentor, Rockcity native, Siziga, Dully jr, Nzi etc.

Nataka tujadili umuhimu wa "kiungo mkabaji" kwenye timu.
Waingereza wanamwita; Defensive midfielder au holding midfielder. Wazee wa samba; Brazil wanamwita volante.

Arsenal Fc
walichukua mara ya mwisho ubingwa wa Uingereza(England) msimu wa 2003-2004.
Kilichochangia Arsenal FC kuchukua ubingwa huo enzi hizo ni kuwa na viungo wazuri, hasa kuwa na huyu "kiungo mkabaji" enzi hizo Patrick Vieira#4, the captain.
Vieira alikuwa anacheza mbele kidogo ya mabeki, jamaa mrefu, alikuwa na nguvu na uwezo wa kupokonya mipira kutoka mguuni mwa adui. Vieira alikuwa pia mbabe, wapinzani walimwogopa mfano; Uadui wake na Roy Kean(man utd).
Pia Arsenal wakampata kiungo mwingine mzuri Gilberto Silva #19. Jamaa pia alikuwa fundi sana wa kucheza jukumu la volante. Ndo maana hata kwenye timu ya taifa ya Brazil kiungo mkabaji alikuwa yeye Gilberto enzi akicheza Arsenal Fc. hata alipohama Arsenal kwend Olympiakos ya Ugiriki bado aliendelea kucheza kwenye timu ya taifa. Tangu wachezaji hao waondoke Arsenal ikashindwa kuchukua mataji. Umuhimu wa Kiungo Mkabaji.

Nini kinafanya Manchester City msimu huu kutisha sana? Je, ni Aguero na Negredo? Jamaa wanafunga sana magoli bila kusahau Dzeko. Hata kiungo fundi Yaya Toure anafunga sana. Lakini msimu huu wamempata "kiungo mkabaji" hatari sana. Jamaa mpira wake hauvutii lakini kazi anaijua,FERNANDINHO #25. Huwa anacheza mbele ya Vicent Kompany na Lescott. Jamaa anazuia mipira mingi isiwakute mabeki wake. Mashambulizi mengi pia huanzia kwake na kwenda ama pembeni kwa Navas na Nasri au mbele kidogo kwa Yaya. Kiungo mkabaji ni muhimu sana kwenye timu hii pia.

Real Madrid Cf chini ya Jose Mourinho jukumu hilo la kiungo mkabaji alikuwa nalo "the engine" Sami Khedira.#6. Mpira wake haueleweki lakini ndo roho ya timu.
Barcelona CF wanaye jamaa yao. Sergio Busquets huyu jamaa pia hufanya vituko vingi uwanjani. lakini vina faida kwa timu.

Sisi CHELSEA FC:
Kiungo mkabaji ndo msingi wa mafanikio yetu: Msimu ule wa 2004-2005, Claude Makelele #4. Alicheza kwa mafanikio katika sehemu hiyo kiasi kwamba hakuna mtu kwenye ligi yeyote Ulaya amewahi kucheza kwa mtindo wake. Viungo wengi wazuri wa ukabaji wametokea Ulaya; lakin hakuna aliyefanya shughuli aliyokuwa anafanya Claude Makelele. Msimu mzima Chelsea ilifungwa magoli 15 tu. Mechi 38 timu ilifungwa magoli 15 tu. Mafanikio yote hayo yalitokana na uimara wa Claude Makelele pale kati kwenye jukumu lake la Defensive Midfielder "the makelele style". Makelele alitoka Real Madrid; Alikuwa ameisaidia sana Real kwenye ubingwa mbalimbali; lakini tangu walipomfukuza Makelele hawajawahi kuchukua UCL. jose Mourinho anajua umuhimu wa "kiungo mkabaji" ndo maana alipofika Real alimtengeneza Sammy Khedira kwenye jukumu hilo, jamaa naye anaweza. REal ilifika nusu fainali 3 za UCL chini ya Mou, kwa sababu ya uimara wa Khedira;

CHELSEA FC ilichukua kombe la UCL 2012,
Nini siri ya mafanikio? Drogba alisaidia sana, yeye pamoja na wengine:
Lakini kuna watu 3 muhimu sana pale katikati ya uwanja waliosaidia sana:

Raul Meireles #16, jamaa anajua sana kutibua mbinu za wapinzani. mfano: Nusu fainali vs Barcelona CF.
Frank Lampard "super Frankie" huyu hajui kupiga chenga kama Hazard, wala hana mbio kama Willian, ila Frank anajua kutoa pasi zenye macho na kupiga mipira mirefu, kuipandisha timu mbele. pasi yake kwenye nusu fainali Camp Nou ilimfikia Ramires, na goli la Ramires likabadili mchezo kabisa.

John Obi Mikel mchezaji bora #2 wa Afrika.
Pia mchezaji bora #2 kwenye kombe la Dunia la Vijana mwaka 2005.(namba 1 alikuwa Messi.)

Sifa ya Mikel tangu aje Chelsea ni uwezo wake wa kunyang'anya maadui mipira, ni vigumu kumnyang'anya mpira Mikel, kucheza faulo za kitaalamu, tangu Mikel aje Chelsea 2007 amefundishwa na makocha wafuatao:
Jose Mourinho, Avram Grant, Scolari, Guus Hiddink, Carlo Ancelotti, AVB, Di Matteo, Rafa Benitez, Jose Mourinho: lakini hakuna hata kocha 1 amewahi kudharau kazi ya John Obi Mikel; ingawa mashabiki wengi "hawamkubali sana" lakini jamaa amekuwa muhimu sana miaka yote hiyo. Hata gemu ya fainali vs Bayern Munich alicheza dakika zote 120.

Man Utd wanayumba kwa sababu Michael Carrick amevurugika. Tafuteni mtu anayejua kucheza Defensive Midfielder vizuri mtavuna matunda; hao kina Mata, Pogba na wenzake hawataweza kuwanusuru; pia pigeni chini kocha;

NAOMBA KUWASILISHA:
CC; Ntuzu, Mentor, Rockcity native, Siziga, Nzi, Mbu, Dully jr, etc
 
Mkuu Rockcity native nimecheka sana hiyo hoja yako inachekesha..ha ha haha.
Sasa turudi kwenye mpira wa kitaalamu kidogo wandugu;
cc. Ntuzu, Mentor, Rockcity native, Siziga, Dully jr, Nzi etc.

Nataka tujadili umuhimu wa "kiungo mkabaji" kwenye timu.
Waingereza wanamwita; Defensive midfielder au holding midfielder. Wazee wa samba; Brazil wanamwita volante.

Arsenal Fc
walichukua mara ya mwisho ubingwa wa Uingereza(England) msimu wa 2003-2004.
Kilichochangia Arsenal FC kuchukua ubingwa huo enzi hizo ni kuwa na viungo wazuri, hasa kuwa na huyu "kiungo mkabaji" enzi hizo Patrick Vieira#4, the captain.
Vieira alikuwa anacheza mbele kidogo ya mabeki, jamaa mrefu, alikuwa na nguvu na uwezo wa kupokonya mipira kutoka mguuni mwa adui. Vieira alikuwa pia mbabe, wapinzani walimwogopa mfano; Uadui wake na Roy Kean(man utd).
Pia Arsenal wakampata kiungo mwingine mzuri Gilberto Silva #19. Jamaa pia alikuwa fundi sana wa kucheza jukumu la volante. Ndo maana hata kwenye timu ya taifa ya Brazil kiungo mkabaji alikuwa yeye Gilberto enzi akicheza Arsenal Fc. hata alipohama Arsenal kwend Olympiakos ya Ugiriki bado aliendelea kucheza kwenye timu ya taifa. Tangu wachezaji hao waondoke Arsenal ikashindwa kuchukua mataji. Umuhimu wa Kiungo Mkabaji.

Nini kinafanya Manchester City msimu huu kutisha sana? Je, ni Aguero na Negredo? Jamaa wanafunga sana magoli bila kusahau Dzeko. Hata kiungo fundi Yaya Toure anafunga sana. Lakini msimu huu wamempata "kiungo mkabaji" hatari sana. Jamaa mpira wake hauvutii lakini kazi anaijua,FERNANDINHO #25. Huwa anacheza mbele ya Vicent Kompany na Lescott. Jamaa anazuia mipira mingi isiwakute mabeki wake. Mashambulizi mengi pia huanzia kwake na kwenda ama pembeni kwa Navas na Nasri au mbele kidogo kwa Yaya. Kiungo mkabaji ni muhimu sana kwenye timu hii pia.

Real Madrid Cf chini ya Jose Mourinho jukumu hilo la kiungo mkabaji alikuwa nalo "the engine" Sami Khedira.#6. Mpira wake haueleweki lakini ndo roho ya timu.
Barcelona CF wanaye jamaa yao. Sergio Busquets huyu jamaa pia hufanya vituko vingi uwanjani. lakini vina faida kwa timu.

Sisi CHELSEA FC:
Kiungo mkabaji ndo msingi wa mafanikio yetu: Msimu ule wa 2004-2005, Claude Makelele #4. Alicheza kwa mafanikio katika sehemu hiyo kiasi kwamba hakuna mtu kwenye ligi yeyote Ulaya amewahi kucheza kwa mtindo wake. Viungo wengi wazuri wa ukabaji wametokea Ulaya; lakin hakuna aliyefanya shughuli aliyokuwa anafanya Claude Makelele. Msimu mzima Chelsea ilifungwa magoli 15 tu. Mechi 38 timu ilifungwa magoli 15 tu. Mafanikio yote hayo yalitokana na uimara wa Claude Makelele pale kati kwenye jukumu lake la Defensive Midfielder "the makelele style". Makelele alitoka Real Madrid; Alikuwa ameisaidia sana Real kwenye ubingwa mbalimbali; lakini tangu walipomfukuza Makelele hawajawahi kuchukua UCL. jose Mourinho anajua umuhimu wa "kiungo mkabaji" ndo maana alipofika Real alimtengeneza Sammy Khedira kwenye jukumu hilo, jamaa naye anaweza. REal ilifika nusu fainali 3 za UCL chini ya Mou, kwa sababu ya uimara wa Khedira;

kimsingi hakuna nafasi nayo ihusudu kama holding midfilder huku kwetu kitaa tunawaita wakata umeme yani akiamua kukata umeme anakata kweli. Na katika maisha yangu ya soka bila kuficha hakuna mtu naye mkubali ktk eneo hilo kama makelele. Huyu jamaa alikua havuki mstari wa kati alikua hana shobo na shughuli ambazo hazimuhusu kama kushambulia au ku assist kama alex song. Dunia ya sasa w2 hawa wamekua adimu sana dunia ya leo imetuletea box 2 box midfilderz ambao wanachanganya mambo.. Kwa dunia ya sasa kidogo namhusudu lucas leiva wa livepool. Kwanza sifa mojawapo ya mkata umeme hatakiwi sana kuonekana ovyo ovyo had kwnye matukio muhimu.
 
Mwanangu agosti 8 Leo umeamua kuzungumzia Roho za timu au Injini au Mshipa Wa damu mkubwa utokao ktk MOYO!

Na kwa habari yako hiyo Mkuu, Yani umenipeleka mojakwamoja Ktk timu ya Italy kwenye kombe la Dunia 2006 na Fainal za Euro 2000 na timu ya Ac Milan.

Hawa jamaa bhana wana mtu mmoja alikua anaitwa Ginero Gatuso. Huyu bana kazi Yake wengi wanaijua vizuri haiitaji kusimuliwa! Na asilimia kubwa mfumo Wa Jose ktk swala la viungo uko sawa kabisa na mpira Wa Italy!

Kazi ya Fenandinho inaonekana sn siku Hizi Na pia imemfanya Toure kupumzika na kushambulia sn Kwani Huyu Fenandinho huku nyuma anamaliza vizuri kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu agosti 8 Makelele na Viera ndio walio fanya kz kubwa ktk kombe la Dunia 2006 wakisaidiwa na Babu Zidane na mawinga Wa kushoto na kulia! Na ata game ya Fainal dhidi ya Italy Km isingekua Kadi nyekundu kwa Babu Zidane na kuumia kwa Viera Italy alikua apigwe Pamoja Na viungo wake mahiri Gatuzo, Piro, Camoranese na Abrosini. Hawa viungo wanne walizidiwa na viungo watatu Makelele, Viera na Babu Zidane na winga Wa kushoto na kulia Frenky na F Molouda.

Nikija kwa Chelsea kwa sasa bado Hakuna kiungo alieweza kufikia kiwango cha Makelele! Na ndio maana Naona Mou yuko na mfumo Wa kuchezesha viungo wawili na kwa majukumu ya kusaidiana. Ingawa anapanga wakiwa na sifa mbili tofauti! Mmoja awe na uwezowa kukaba na mwingine anakua na uwezo Wa kukaba na kushambulia! Hivi ndivyo tunaona ata Man City kati ya Toure na Fenandinho!
 
Last edited by a moderator:
Essien alijaribu kutaka kufikia kiwango Km cha Makelele lkn majeruhi yakamuandama sn na pia Obi bado hajamfikia Makelele na Ramires yeye anasifa ya wepesi kwa kwenda mbele na kukaba ni mzuri lkn wote hawa bado hawajamfikia Makelele!

Kwa game ya City na Chelsea Ningependa Ramires acheze na kwa uwezo Wa Ramires Fenandinho hawezi kumzibiti. Ningependa kumuona Ramires na Oscar pale Kati wakisaidiwa na kiuongo mmoja mkabaji Km atakua Obi au Luiz au Matic au Essien au Lampard!

Lampard kwenye kukaba anajitahidi sn na ni mhamasishaji sn uwanjani!
 
Ntuzu mimi pia nampenda sana Makelele; hata jana nilimzungumzia huyu "legend" wetu kama unakumbuka; hakuna mtu anayeweza kucheza kama yeye; lakini kwa kweli John Obi Mikel anacheza vizuri sana hapo kati kuliko kiungo yeyote mkabaji kwa timu yetu; Ramires ni box to box midfielder; Lakini Obi yeye ni kati tu; na ndo maana pasi zake nyingi ni square pass kushoto au kulia na pasi za nyuma kwa mabeki ili kutengeneza "shape" ya timu.

Ramires faida yake ni kwamba tukicheza na timu kama City ni kwamba jamaa zetu hawatapumzika; tutakuwa tunapushi muda wote; Lakini kwa sababu Matic amekuja nafikiri pale kati patabadilika; jamaa pia ni fundi sana. Chelsea imeanza kuiva; Nakuambia Ntuzu ubingwa wa msimu huu ni wetu. Mo Salah amekuja kuongeza vitu.
Essien alijaribu kutaka kufikia kiwango Km cha Makelele lkn majeruhi yakamuandama sn na pia Obi bado hajamfikia Makelele na Ramires yeye anasifa ya wepesi kwa kwenda mbele na kukaba ni mzuri lkn wote hawa bado hawajamfikia Makelele!

Kwa game ya City na Chelsea Ningependa Ramires acheze na kwa uwezo Wa Ramires Fenandinho hawezi kumzibiti. Ningependa kumuona Ramires na Oscar pale Kati wakisaidiwa na kiuongo mmoja mkabaji Km atakua Obi au Luiz au Matic au Essien au Lampard!

Lampard kwenye kukaba anajitahidi sn na ni mhamasishaji sn uwanjani!
 
kimsingi hakuna nafasi nayo ihusudu kama holding midfilder huku kwetu kitaa tunawaita wakata umeme yani akiamua kukata umeme anakata kweli. Na katika maisha yangu ya soka bila kuficha hakuna mtu naye mkubali ktk eneo hilo kama makelele. Huyu jamaa alikua havuki mstari wa kati alikua hana shobo na shughuli ambazo hazimuhusu kama kushambulia au ku assist kama alex song. Dunia ya sasa w2 hawa wamekua adimu sana dunia ya leo imetuletea box 2 box midfilderz ambao wanachanganya mambo.. Kwa dunia ya sasa kidogo namhusudu lucas leiva wa livepool. Kwanza sifa mojawapo ya mkata umeme hatakiwi sana kuonekana ovyo ovyo had kwnye matukio muhimu.

Mkuu rockcity Native umenifurahisha sn Mkuu kwa Hilo jina la Mkata Umeme! Mimi Nina watu watatu ambao walikua wanacheza nafasi hiyo Ambayo kwa umahiri Zaidi!

Anaeongoza ni Makelele! Huyu bwana haiitaji kusimulia na wengi tunajua kz yake!

Na pia mtu Wa pili ni Gatuso. Huyu nae kila mmoja anajua shughuli Yake

Na mtu Wa tatu ni Emerson. Huyu bwana aliifanya Juventus kua timu yenye ngome ngumu sn! Na timu ya taifa ya Brasil 1998 na 2002 ilikua imara sn ktk Beki Na kiungo mkabaji kutokana na Huyu jamaa!

Wajerumani wamekua hawana bahati ya kupata Hawa viungo Na ndio maana game zao za Euro 2000 na world cup 2002, euro 2008 Na world cup 2010 walikua wanajitahidi sn! Lkn walikua wakikutana na timu Ambayo iko vizuri ktk nafasi ya kiungo basi walikua wanachinjwa kabisa Hawa Wajerumani au wanakatiwa Umeme!

Tunaona game ya Italy na Germany ya Nusu Fainal ktk euro 2000.

Na pia game ya Brasil vs Germany Fainal world cup 2002

Italy vs Germany nusu fainali world cup 2006

Spain vs Germany Fainal game euro 2008

Nusu fainali Spain vs German world cup 2010

Na Fainal game ya Spain na Germany 2012 euro cup!

Germany Amekua Hana viungo mahili Km ilivyo kwa Spain na Italy na Brasil.

Namkumbuka sn jamaa Yangu Michael Sena alikua Mkata Umeme mzuri sn Wa Spain ktk game ya Fainal ya euro 2008 Kati ya Spain na Germany.

Hichi ndicho kinacho waghalimu sn Germany! Ni wakata Umeme au viungo wakabaji!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu mimi pia nampenda sana Makelele; hata jana nilimzungumzia huyu "legend" wetu kama unakumbuka; hakuna mtu anayeweza kucheza kama yeye; lakini kwa kweli John Obi Mikel anacheza vizuri sana hapo kati kuliko kiungo yeyote mkabaji kwa timu yetu; Ramires ni box to box midfielder; Lakini Obi yeye ni kati tu; na ndo maana pasi zake nyingi ni square pass kushoto au kulia na pasi za nyuma kwa mabeki ili kutengeneza "shape" ya timu.

Ramires faida yake ni kwamba tukicheza na timu kama City ni kwamba jamaa zetu hawatapumzika; tutakuwa tunapushi muda wote; Lakini kwa sababu Matic amekuja nafikiri pale kati patabadilika; jamaa pia ni fundi sana. Chelsea imeanza kuiva; Nakuambia Ntuzu ubingwa wa msimu huu ni wetu. Mo Salah amekuja kuongeza vitu.

Mkuu nakubaliana na Wewe ktk hoja zako!

Na nikweli Obi pale kati ameanza kumzidi Essien, yupo vizuri sn! Na sijamfatilia sn Matic kule Benfica Kwahiyo uzuri wake sn bado sijaufahamu! Ila Ningependa hiyo game ya City na sisi pale Kati aanze Obi na Ramires na Oscar. Alafu anaweza akapumzishwa Oscar akaingia Luiz au Matic au Lampard!
 
Kimsingi kuanzia 1998 mpaka 2012 Germany wamekua wanashiriki World cup na Euro bila kuchukua kombe! Na wanakomea hatua za mbali kabisa! Km sio Fainal basi ni nusu Fainal au Robo Fainal! Ila hawana bahati! Kwa ulaya hii ni timu moja ngumu sn! Ila ndo ivyo haina wakata Umeme mahili Km Makelele na Gatuso au Emerson
 
umenikumbusha huyu mtu emerson. Jamaa alimis wodcup ya 2002 kimasihara. Alikua anajaribu kufanya kazi za magolikipa wakiwa kambini na tim ya taifa matokeo yake akapalamia mlingoti akaumia. Hapo ndo scolari from nowhre akamleta mkata umeme mpya gilberto da silva au pale highbury 2likua 2namuita invisible wall au mchimba kokoto.
 
halafu ujerumani ya sasa haina wale watu wa roho ya paka au wale wanaokufa na tai shingoni kama effenberg au lothar matheus. Watoto wengi sahv wa kijeruman ni wahamiaji yani hawana ile DNA ya kijeruman kuwa na uchungu na nchi.
 
Na pia kuna kazi nzuri iliwahi kufanywa na kiungo mkabaji Wa taifa la Uholanzi Miaka ya 90 mwishoni na 2000 Mwanzoni ktk World cup na Euro!

Edger Davis

Bila Shaka wengi wanaikumbuka kz nzuri ya Huyu Mkata Umeme lkn bado Makelele yuko juu!
 
umenikumbusha huyu mtu emerson. Jamaa alimis wodcup ya 2002 kimasihara. Alikua anajaribu kufanya kazi za magolikipa wakiwa kambini na tim ya taifa matokeo yake akapalamia mlingoti akaumia. Hapo ndo scolari from nowhre akamleta mkata umeme mpya gilberto da silva au pale highbury 2likua 2namuita invisible wall au mchimba kokoto.

Mwanangu Rockcity, Leo unanifurshisha sn kwa hoja zako!

Ni kweli Gilberto da Silva alikua mahiri sn na sizani Km Duniani kunaweza kukatokea watu mahiri Km Hawa!

Maana Hizi ndio zilikua Injini au Roho ya timu! Na kwa arsenal bado Hakuna mtu anaweza kumfikia Huyu mchimba kokoto!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom