juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Florentino Luiz ni bonge la mid, wachezaj wengi wanaotoka league ya ureno, huwa hawachukui mda kuadapt Premier leagueKaribia hao wote ni wazuri kuliko Caisedo
Hofu ni uzoefu wao na premium League
Nocolo Barela ni mzuri ila anakuwa mzuri zaidi kwenye offensive phase
Kwenye CDM mimi namuona Thuram na Kone na kwa mbali Luiz ndio the best hata kuliko Caisedo
Tunabaki na changamoto wakija EPL wanaweza wasionekane kama Koulibaly alitamba sana Serie A, kaja EPL ameshindwa kuendana na mwendo kasi wa Ligi
