Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie ndugu zetu ,tuachieni Kai ,tuna kazi nae ,
Screenshot_20230614-182127~2.jpg
 
Nyie ndugu zetu ,tuachieni Kai ,tuna kazi nae ,View attachment 2657453
Kai akienda Arsenal tutakuja kulia hapa, ni moja kati ya wachezaj wenye vipaji sema yupo kwenye team ambayo inaattacking mbov kwa sasa na inakosa kocha.

Ila huyu Kai akienda pale kwa Arteta tutakuwa tumefanya mistake ile ile kama ya KDB n Salah.
 
Kwanini mpaka Sasa ishu ya Caicedo mpo kimya ? Kuna Nini

Arsenal wamesema wakimaliza dili la Rice (£100m) wanamgeuia Caicedo ambaye anaondoka kwa £70-75m tu

Kwanini Chelsea wapo kimya ?

Kumbuka Caicedo anataka kucheza UCL
Now tunafanya mambo kimya, huku tukijaribu kuuza.

Endapo tukisajil sasa, tutakuwa na pressure kubwa ya kuuza. Na lazima tuuze

Nahisi tutegemee 3-4 tutakaowasajil.

Ila ni vile tu kuna viungo wazuri wapo
Veiga,
Zubimendi
Florentino Luis
Lavia
Barella tho naona 80% anajiunga Newcastle
 
Sisi tunaye mchawi pale darajani
Haiwezekani wachezaji waje wacheze vibaya huku na wakitoka wakacheze vizuri nje ya Chelsea

View attachment 2656404
Hatuna mfumo maalum, ndio maana tunahangaika.

Ili wachezaj waanze kufanikiwa lazima tuwe na style yetu ya uchezaji, mpira wa sasa umebadilika hii sioo 2010 kushuka chini,
Now team zinawekeza na zina style yao ya uchezaj sisi hatuna ndio maana ni ngumu kwa baadhi ya wachezaj kungara.

Ukitaka kuamini subir Kai aende Arsenal na ule uchezaj wao Tutaanza kulia.
 
Kante kasepa

Kova anasepa

Gorginho alishasepa

Kiungo pekee mwenye Angalau Ni Enzo

Mnahitaji usajili wa makini kusuka Midfield, bado eneo la Attacking mnahitaji maboresho

Sio kwa ubaya ila naiona Chelsea iki struggle Tena msimu ujao
Tunasajili 2 mid dirisha hili
1 GK
1 striker
Add Nkunku hapo
 
Now tunafanya mambo kimya, huku tukijaribu kuuza.

Endapo tukisajil sasa, tutakuwa na pressure kubwa ya kuuza. Na lazima tuuze

Nahisi tutegemee 3-4 tutakaowasajil.

Ila ni vile tu kuna viungo wazuri wapo
Veiga,
Zubimendi
Florentino Luis
Lavia
Barella tho naona 80% anajiunga Newcastle
Huyu ballera si type ya Liver kabisa
 
Hatuna mfumo maalum, ndio maana tunahangaika.

Ili wachezaj waanze kufanikiwa lazima tuwe na style yetu ya uchezaji, mpira wa sasa umebadilika hii sioo 2010 kushuka chini,
Now team zinawekeza na zina style yao ya uchezaj sisi hatuna ndio maana ni ngumu kwa baadhi ya wachezaj kungara.

Ukitaka kuamini subir Kai aende Arsenal na ule uchezaj wao Tutaanza kulia.
Haendi huyo anabaki au real yye mjinga aende timu mbovu kabisa
 
Kai akienda Arsenal tutakuja kulia hapa, ni moja kati ya wachezaj wenye vipaji sema yupo kwenye team ambayo inaattacking mbov kwa sasa na inakosa kocha.

Ila huyu Kai akienda pale kwa Arteta tutakuwa tumefanya mistake ile ile kama ya KDB n Salah.
Nilitaka kusema hii point, HAvertz na Mount kwenda kwenye rival team tunajitengenezea mauaji ya kimbari. Sisi tumeamini kabisa Havertz ni mbovu wakati sisi ndio wenye mfumo mbovu wa kushambulia na pia tuna wachezaji wengi wanaonungunika hasa baada ya UEFA 2021
Narudia kusema ubovu mkubwa wa Chelsea ulianzia hapo. Wachezaji walitegemea kupewa renumeration nzuri nadhani hawakupewa na ukiweka na upangaji wa mishahara hovyo.

Tukajikuta tumeingia mkenge wa Man United enzi zile za Sanchez kukwepa kwenda Man City na kwenda MAn U kwa ajili ya mshiko mkubwa, Akaja Pogba naye mshiko mkubwa baadhi ya wachezaji wakaanza kunung'unika hasa Bruno na akina Degea na wengine
 
Newcastle wanakaribia kumsajili,Fikiriq kiungo cha Guimares,Barella na Joelinton.

Naona kabisa Next season Newcastle target yao itakuwa ni kuanza kupigania makombe
Bado sana mkuu, wataendelea kushindania top 4, kwanza hii nguvu waliotumia msimu huu wa kuingia top 4 na ukachanganya watakuwa kwenye mashindano makubwa msimu ujao wataona nyota zote
Chelsea sisi ndio tutacheza bila fatiq msimu ujao
 
Kama kaongea Sami Mokbel Basi huenda mkatuuzia Kai

Hatupo mbali ,mkishusha Bei kidogo ,kazi Kwisha

[emoji599]Arsenal willing to pay 60m including addons for Havertz. Chelsea holding out for 70m. Arsenal willing to pay over 200k a week wages. Havertz keen on the move. Arsenal will go for Havertz once Rice Deal is done

(@SamiMokbel81_DM - Tier 1)
 
Leteni 70 hiyo tuipeleke kwa Caicedo
 
Kama kaongea Sami Mokbel Basi huenda mkatuuzia Kai

Hatupo mbali ,mkishusha Bei kidogo ,kazi Kwisha

[emoji599]Arsenal willing to pay 60m including addons for Havertz. Chelsea holding out for 70m. Arsenal willing to pay over 200k a week wages. Havertz keen on the move. Arsenal will go for Havertz once Rice Deal is done

(@SamiMokbel81_DM - Tier 1)
Mbona mna usongo wa kuwasajili hawa wachezaji mlikuwa mnawakandia sana? Ila kwa Kai mnapata mchezaji mwenye sifa zote, mrefu, intelligent, mfungaji wa magoli machache lakini muhimu. Pia ni passer mzuri kwenye difficult situations
 
Arsenal sasa hivi anampita Manure kwa mshiko
Ingekuwa ni Arsenal dili la Mason Mount lingekwisha siku nyingi
Mbolea imekuwa mbolea kweli kweli
 
Mbona mna usongo wa kuwasajili hawa wachezaji mlikuwa mnawakandia sana? Ila kwa Kai mnapata mchezaji mwenye sifa zote, mrefu, intelligent, mfungaji wa magoli machache lakini muhimu. Pia ni passer mzuri kwenye difficult situations
Chelsea ina wachezaji wazuri wengi Talent ,ila wamekosa mtu wakuwaunganisha , Kama unakumbuka lampard aliposhindwa ,Tuchel aliweza bila kusajili wapya

Wenye jicho la 3 wanajua hapo Kuna wachezaji wengi wazuri , mfano yule Colwill tulimtaka akiwa ametoka academy yenu tu, mkaenda kumwaga pesa £62m kwa Cucurela mkamdharau Colwill ,Sasa hivi hamtaki kumuachia

Ila mngekuwa na Kina Marina, Cech, n.k msingehangaika wakati mna ball playing CB halafu mkawa hamjui kuwa mnaye

Huo Ni mfano kuonesha Kuna talent mmezikalia hapo
 
Newcastle wanakaribia kumsajili,Fikiriq kiungo cha Guimares,Barella na Joelinton.

Naona kabisa Next season Newcastle target yao itakuwa ni kuanza kupigania makombe
Kai mchezaji wa hovyo. Ass anal watupe tu hela tuwauzie, hat wakimtaka bure tuwape.
Mchezaji mzuri utamuona hata akiwa kwnye timu mbovu utamuona, mfano Enzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom