lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Comparison ya Rice na Caisedo defensive aspects kwa msimu wa 22/23 kwa epl tu
Caisedo kamuacha mbali sana Rice mr Mpunga
Comparison ya Rice na Caisedo defensive aspects kwa msimu wa 22/23 kwa epl tu
Sijakataa ,hao Ni profile tofaut ndio maana tumeandaa £180m kuwachukua wote ,wiki hii had weekend deal la Rice litakuwa limekamilikaComparizon ya Rice na Caisedo defensive aspects kwa msimu wa 22/23 kwaepl tu
Caisedo kamuacha mbali sana Rice mr Mpunga
View attachment 2656506
Caseido anatua Chelsea na striker kati ya vlahovic au osimhen.Kante kasepa
Kova anasepa
Gorginho alishasepa
Kiungo pekee mwenye Angalau Ni Enzo
Mnahitaji usajili wa makini kusuka Midfield, bado eneo la Attacking mnahitaji maboresho
Sio kwa ubaya ila naiona Chelsea iki struggle Tena msimu ujao
Caicedo anaenda Chelsea kwa sababu anataka kupata mafanikio uefaKante kasepa
Kova anasepa
Gorginho alishasepa
Kiungo pekee mwenye Angalau Ni Enzo
Mnahitaji usajili wa makini kusuka Midfield, bado eneo la Attacking mnahitaji maboresho
Sio kwa ubaya ila naiona Chelsea iki struggle Tena msimu ujao
Nimeona defensive action parameter ambayo huwa haipo kwenye statsKwani hapo umeona Nini? Hiyo ni comparison ya Rice & Caicedo
Mm nawashangaa baadhi mnaoponda Uwezo wa Rice
Soon mtmponda na Caicedo
Unaweza ukawa correct kwa sababu hawa wamarekani hawajitambui kabisa, mpaka timu ishuke daraja ndipo wajue nini cha kufanya kwa wakati sahihi. Too much much knowKante kasepa
Kova anasepa
Gorginho alishasepa
Kiungo pekee mwenye Angalau Ni Enzo
Mnahitaji usajili wa makini kusuka Midfield, bado eneo la Attacking mnahitaji maboresho
Sio kwa ubaya ila naiona Chelsea iki struggle Tena msimu ujao
Wa maana tuliyempoteza hapo ni Kante tuKante kasepa
Kova anasepa
Gorginho alishasepa
Kiungo pekee mwenye Angalau Ni Enzo
Mnahitaji usajili wa makini kusuka Midfield, bado eneo la Attacking mnahitaji maboresho
Sio kwa ubaya ila naiona Chelsea iki struggle Tena msimu ujao
ananiuma ila ndo basiWa maana tuliyempoteza hapo ni Kante tu
Hao wengine ,JoJo ,Kova sio wa maanaWa maana tuliyempoteza hapo ni Kante tu
) Arsenal would be prepared to step up their interest in Havertz if his price tag dropped significantly,they are unwilling to pay more than about £50 million for him. (@Matt_Law_DT)Kama tunamsajili huyu wakina FOFANA,BROJA wanafanya niniBREAKING NEWS:
Chelsea's striker search leads to talks for Villarreal's Nicolas Jackson. - the 21-year-old got 9 goals in his last 8 La Liga matches, - He is available and valued at around £30m:
View attachment 2657127
Kova alikuwa mzuri ila end product yake ilikuwa ya kawaida sana.Hao wengine ,JoJo ,Kova sio wa maana
Atakaye zubaa atauzwa for sure na nina wasiwasi na BrojaKama tunamsajili huyu wakina FOFANA,BROJA wanafanya nini
Sijasema ni mbovu kisa anakuja arse88, angalia hat post zangu za nyuma kipindi cha nyuma anahusishwa na chelsea nilipinga kuwa ni mchezaji wa kawaida,. hata leo hii akaja chelsea bado atakua mchezaji wa kawaida, caseido amemwacha mbali sana ubwabwa.
Ndoto y mchezaji ni kuchukua UCL sio kuja Arse88 kushiriki UCL. na kuishia kuchabangwa goli 10.Kwanini mpaka Sasa ishu ya Caicedo mpo kimya ? Kuna Nini
Arsenal wamesema wakimaliza dili la Rice (£100m) wanamgeuia Caicedo ambaye anaondoka kwa £70-75m tu
Kwanini Chelsea wapo kimya ?
Kumbuka Caicedo anataka kucheza UCL