Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbape to Chelsea
Here we go!

Kylian Mbappé has informed PSG of his decision: he’ll NOT trigger the option to extend current contract until 2025, it means that deal would expire next June 2024 — as L’Équipé called.PSG position: NO plan to lose Kylian for free.Sign new deal now or he could be sold.

-Fabrizio Romano
View attachment 2655555
Hii siamini kabisa haitakuja kutokea
 
Hii siamini kabisa haitakuja kutokea
Nimeweka tu ila hata mimi naamini Mbape kashtuka kuwa hatapata Ballon D'or akiwa PSG
Namuona Mbape akitenmgeneza njia ya kwenda Real Madrid.

-Boehly on Mbape

"Mbappe to Chelsea? He's a talented player, but we are NOT pursuing a deal with full force at the moment. He seems to be exploring other options, and we respect his decision. Our priority lies in signing players committed to Chelsea's long-term success.
1686636753650.png
 
Wakituondolea huu mzigo itakuwa bora zaidi

EXCL: An appointment took place yesterday in a large Parisian hotel between Al-Hilal and Romelu Lukaku.The Saudis verbally offered a salary of $20 million per year. The Belgian striker is interested but wants a lot more. Discussions will continue.

Mbape to Chelsea
Here we go!

Kylian Mbappé has informed PSG of his decision: he’ll NOT trigger the option to extend current contract until 2025, it means that deal would expire next June 2024 — as L’Équipé called.PSG position: NO plan to lose Kylian for free.Sign new deal now or he could be sold.

-Fabrizio Romano
View attachment 2655555
Huyu mchezaji wa nini?
 
Chelsea insists on Dušan Vlahović.Juventus had a meeting over the weekend with representatives of the Stamford Bridge club, looking for heavy reinforcements for Pochettino.

Changamoto: Huyu jamaa ana majeruhi ambayo bado hayajamuachia takribani mwaka mzima sasa, Chelsea watatakiwa kumchunguza hayo majeruhi tusije tukaingizwa choo cha kike
1686648863411.png
 
Toeni maoni yenu hapa, tumuuze tusimuuze, sio tu tutapewa mshiko huo bali pia kupunguza mzigo wa mshahara wa 325k/wiki

Al Hilal are planning to make an offer of more than 40 million euros to Chelsea to sign Romelu Lukaku. The Saudi club has made a $ 20 million annual offer to the Belgian striker, but the 30-year-old striker wants about $ 50 million.

1686649859917.png
 
John Terry akiwa na Miaka 14 aliposaini mkataba wake wa kwanza na Chelsea mbele ya Mama yake. Iliyobakia ni historia

What a legend

1686650161315.png
 
Baada ya Rice wiki hii tunahamia kwa Caicedo

Fanyeni haraka dili la Caicedo

Priority yetu Sasa Ni Rice (£100m)

Then tumgeukie Caicedo Kama bado Chelsea atakuwa anachelewa

Our dream Midfield Ni RICEDO (RICE & CAICEDO)
Kwa Caicedo msijisumbue labda Brighton walete zile issue zao zakutaka Bidding war,ila hivi hivi huyu tunamchukua
 
Kwa Caicedo msijisumbue labda Brighton walete zile issue zao zakutaka Bidding war,ila hivi hivi huyu tunamchukua
Kwa Mudryk ilikuwa hivi hivi, Chelsea walifanya mambo kwa siri Arsenal waka relax
Nasikia Pochetino na wenzake wanafanya mazungumzo kwa siri sana bila kuwahusihsa waandishi wa habari
Kikwazo kitakachotunyima Caisedo ni Colwill, Brighton wamefall in love na Colwill kiasi kwamba tukimnyima kama inavyoelekea wanaweza muuza Caisedo kwa timu nyingine au wakaweka bei kubwa ya kukomoa
PSG baada ya kumnyima Ziyech si unaona walichotufanyia kwa Ugarte?
 
Kwa ugarte ni sisi tu tulikataa kumatch ile offer ya PSG upande wa salary. Ila club kwa club agreement ilikuwa inakaribia.
Jorge mendes(wakala wa Ugarte) aliwapa info psg, na Psg wakaincrease offer yao. Hicho kitu ndio kilowafanya chelsea kujiondoa baada ya kuona huo mchezo.
 
Kwa Caicedo msijisumbue labda Brighton walete zile issue zao zakutaka Bidding war,ila hivi hivi huyu tunamchukua
Kwanini mpaka Sasa ishu ya Caicedo mpo kimya ? Kuna Nini

Arsenal wamesema wakimaliza dili la Rice (£100m) wanamgeuia Caicedo ambaye anaondoka kwa £70-75m tu

Kwanini Chelsea wapo kimya ?

Kumbuka Caicedo anataka kucheza UCL
 
Sisi tunaye mchawi pale darajani
Haiwezekani wachezaji waje wacheze vibaya huku na wakitoka wakacheze vizuri nje ya Chelsea

1686675542028.png
 
Umechagua tu zile zinazokupa furaha na matumaini, mbona zingin eumeacha
Kwani hapo umeona Nini? Hiyo ni comparison ya Rice & Caicedo

Mm nawashangaa baadhi mnaoponda Uwezo wa Rice

Soon mtmponda na Caicedo
 
Hii siamini kabisa haitakuja kutokea
Hakuna mchezaji wa daraja la Mpappe aje timu isoyokuwa na future kila siku inazidi kudidimia.

Yule anapaswa aende kuchezea timu kama Real Madrid , Man City au ikishindikana basi aende Barcelona au Liverpool.

Timu yetu mbovu itaishia kupata wachezaji wenye njaa ya fedha ila sio wachezaji wenye njaa ya mafanikio binafsi yasiyohusisha fedha au club.
 
Baada ya Rice wiki hii tunahamia kwa Caicedo

Fanyeni haraka dili la Caicedo

Priority yetu Sasa Ni Rice (£100m)

Then tumgeukie Caicedo Kama bado Chelsea atakuwa anachelewa

Our dream Midfield Ni RICEDO (RICE & CAICEDO)
Alafu niwakumbushe tu Chelsea wiki hii ikiisha bado hamjakamilisha deal la Caicedo basi jiandaeni kuumia tena, maana wiki yote hii tunadeal na ishu ya Rice na kibaya zaid Partey leo kafikisha miaka 30, alf Caicedo yuko sokoni Kuweki makini sana
 
Sawa mr kronke tatukuwa makin
 
Kwani hapo umeona Nini? Hiyo ni comparison ya Rice & Caicedo

Mm nawashangaa baadhi mnaoponda Uwezo wa Rice

Soon mtmponda na Caicedo
Kumbuka Caisedo ana miaka 21 na Rice mpunga wenu ana mika 24 Leta stats za Declan Rice akiwa 21 halafu tuanzie hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom