Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inter vs Bayern in 2010 UCL Final = Inter win
Chelsea vs Bayern in 2012 UCL Final = Chelsea win

2012-2010 = 2 years gap

again
Chelsea vs Man City in 2021 UCL Final = Chelsea win
Inter vs Man City in 2023 UCL Final = ??????

Again 2023-2021 = 2 years gap
 
Moto mkubwa umeibuka kule Instanbull na unaelekea kwenye stadium, uchawi huo
 
Mnapata wapi muda wa kulala nyie amkeni
FB_IMG_16864408793568728.jpg
 
Kumbe Pochettino ndiye aliyekataa Urgarte asisajiliwe kwa mshahara mkubwa!
Baada ya PSG kuingilia na kuongeza mshahara wakala wa Urgarte aliwaendea Chelsea ili waongeze mshiko, haraka Poche alipohusishwa akakataa kwa sababu kumleta mchezaji mgeni na mshahara mkubwa utaharibu dressing room na kuongeza manung'uniko kwa wengine.

Hili tatizo ndilo lililokuwa linaharibu Morale ya wachezaji kucheza vizuri kwa Man United na Chelsea
Man u ilianza kwa Sanchez halafu akaja Pogba na mishahara mikubwa wengine wakakata tamaa wakaacha kucheza kwa juhudi na amaarifa

Chelsea nako, hasa ujio wa Lukaku na mshahara mkubwa, Reece James kuongezewa mshahara hadi 250K, akina Odoi kuongezewa mashahara mkubwa wakati ule Bayern wanamtaka, na wako wengine wana mishahara mikubwa na hawachezi vizuri ndio sumu ambayo akina Boehly na Poche hawataki kurudia. Mchezaji aongezewe mshahara kama anacheza vizuri
 
MO Salah na goli lake la kwanza akiwa kwenye jezi ya Chelsea mechi ya ligi tuliwabamiza Arsenal goli 6-0
Katika mechi hii pia Arteta aliichezea Arsenal kama Kiungo na Arsene Wenga kama Kocha mzoefu.

The Special one, MOU alirudi ungwe ya pili

 
Timu za Itally zilishiriki fainali za makombe yote ya Ulaya na bahati haikuwa ya kwao

Conference League Final
  • Florentina vs Westham
  • 1-2 - Westham were Winners
Europa League
  • Sevilla vs AS Roma
  • 1-1 (4-1 on penalties) - Sevilla were Winners
UEFA Champion League
  • Man City vs Inter Milan
  • 1-0 Man City were Winners
1686473912287.png
 
Christopher Nkunku: “I play where the coach decides. I don’t want to be a problem but a solution. But I can be in front, in support or on the sides. I have this ability to adapt it – I like to be free.”
- Simon Philips
1686479438838.png
 
AC Milan wanamtaka Carney Chunkwuemeka
Ningekuwa mimi, huyu dogo asiuzwe kabisa
1686479796641.png
 
Chelsea na Man United wakiingia sokoni utaona

Mchezaji wa mil 5 atauzwa mil 25
Mchezaji wa mil 25 atauzwa mil 50/60
Mchezaji wa mil 50 atauzwa mil 85/100
Mchezaji wa mil 70 atauzwa mil 120/150
Mchezaji wa mil 120 atauzwa mil 180/200
 
Huyu DOGO auzwe hata sasa hivi.sioni anachokifanya.
Ana miaka 19, halipwi mshahara mkubwa , so hana uzito wowote kwenye timu. Akienda mkopo itakuwa na tija kwa Chelsea kuliiko kuuzwa. Kwa umbile lake akipikwa akaiva atatufaa sana
Tukimuuza sasa hivi hatauzwa pesa yeyote ya maana na pili tutakuja kumnunua kwa mil 100 baada ya miaka kama mitatu hivi akiwa na miaka 22
 
Sijui haya masifa ya Boehly na wenzake itatufikisha wapi?

Neymar unamleta Chelsea aje kuwa nani?
Tangu 2015 Neymar sio mchezaji wa kufunga 20+ goals
Neymar wa sasahivi ni majeruhi kwenda mbele
Analeta mzigo wa mshahara bure, bora Chelsea wangepigania kumbakiza Mount na Kante kuliko kutumia gharama kubwa kumleta Neymar

Naomba hii iwe ni uvumi tu na sio serious plan
 
Mishahara hiyo, muwaone wanaokula mishahara bure
Swali, nani alimnunua Datro Fofana? mbona kawekewa mzigo mkubwa kuliko umri na uzoefu wake

1686489866508.png
 
Andre Onana
Mike Maignan
David Raya

Wote makipa wazuri, wote wana miaka 27 na wote wamevutiwa na Chelsea
Tumsajili yupi?

1686494803529.png
 
Man city now have overtake chelsea as the fourth most successful english club.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom