Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea kununua share chache kwenye timu ya Sporting Lisbon ili kumpata Manuel Ugarte. Sasa mchezaji hana choice, mktaba wa miaka 8 (2023-2030

Gazeti moja la Ureno la @lequipe limedai kuwa kama dili hili litakamilika basi UEFA wataingilia kati kuchunguza na hadi mkataba wa miaka 8 kwani madili kama haya hayajawahi kutokea kwenye football

1685917097323.png
 
Benfica manager Roger Schmidt: "We thought the €120million release clause would keep Enzo Fernandez at Benfica until the summer, because no one would be crazy enough to pay that money at that time. But we didn't count on #Chelsea."
(@abolapt)
 
Chelsea pamoja na speed yote hiyo ya wiki iliyopita YAJITOA RASMI kwa sababu ya PSG
Nilishangaa mwarabu wa PSG kushindwa kirahisi hii mechi.
Nawapongeza pia Chelsea kutoingia kichwa kichwa na kuyarudia yale yale makosa ya zamani. Soko lina viungo wengi wazuri.

Breaking: Chelsea are pulling out of the Manuel Ugarte race, PSG are now in the lead to sign the player! #CFC Player was open to Chelsea move — but PSG have offered more and Chelsea are not willing to pay well above what they consider Ugarte’s “market rate”.

-Fabrizio Romano

1685945474175.png
 
Mwali huyo kaibiwa na manaume mwingine

-Fabrizio Romano

Paris Saint-Germain are now working to close in on Manuel Ugarte deal at the beginning of next week. Chelsea have left the race, as things stand. #PSG

PSG, offering better terms to the player — but still in talks to finalize deal with Sporting around €60m fee.
 
Media ya RECORD kule Ureno wanadai Chelsea hawajajitoa kwenye kinyang'anyiro bado
Walichofanya ni kutishia kuondoka baada ya Mendes kuwaambia kuwa PSG wameongeza dau kubwa kwenye mshahara na kuwataka Chelsea nao waongeze. Chelsea walikataa na wakatishia kujitoa.

Kimsingi Mchezaji anapenda kuja kucheza EPL

Luiz Campos yuko serious na usajili wa Ugarte baada ya kumalizana na Asensio

Tusubiri nini kitajiri huko mbele
 
Tuwaangalie Liverpool
Targets zao ni poa kabisa
Gharama not above 50M

Sisi tunahangaika na target za mil 80-100 hadi tunanyang'anyana na akina PSG, wachafusi wa soko
 
Chelsea expected to push for Romeo Lavia this summer, as well as Moises Caicedo. Lavia has been in regular contact with Joe Shields this season and also chatted with Eden Hazard about Chelsea last year.

- Simon Phillips
 
New development
These players to Chelsea
  1. Romeo Lavia CM
  2. Moises Caisedo CM
  3. James Madison AM
  4. Mike Maignan GK
1685982024989.png
 
Conte Reign Era at Chelsea 2017

Walinunuliwa akina
  1. Batshuayi
  2. Ngolo Kante
  3. David Luiz
Wachezaji walio kwenye line up hapo chini karibu wote walikuwa onfire
Moses alikuwa very active kwenye wing ya kulia kama alivyo James leo. Costa na Hazard walifaidi sana krosi za Moses, alikuwa hafanyi makosa. Kwa upande mwingine Alonso naye aliitendea haki hiyo wing ya kushoto ambayo iliwapa Hazard na Willian kucheza wide bila shida na kunyanyasa defense ya timu yeyote tuliokutana nayo

Huku katikati Matp na Kante waliweka double pivot nzuri sana japo Matip hakucheza vizuri pale Kante alipokosekana
Tuseme tu Matip ile double pivot hakuijulia vizuri alipocheza na mchezaji mwingine mbali na Kante

David Luiz na Carhill walikuwa visiki kule nyuma japo proction ya viungo iliwapa boost kubwa sana

Tuseme tu huo mwaka wa 2016/17 mambo yalimuendea vizuri Conte

Timu nzima ya Conte kwenye mfumo wa 343 na mara nyingine ilikuwa 352 hii hapa

Hazard--------------- Costa/Batshuayi---------------Willian/Pedro

Alonso ------------Matip ---------- Kante ------------Moses

---------Carhill -------- D Luiz-----------Azpilicueta --------

----------------------- Courtois ---------------------------

1686029933438.png
 
BREAKING NEWS:
- Fabrizio Romano on Kante

EXCL: Saudi emissaries, in London to present an official proposal to N’Golo Kanté. #CFC
Salary bid could reach €100m inclusive of the image rights & commercial deals.Al Ittihad and Al Nassr, on it.Kanté always gave priority to new deal at Chelsea — it was close in March.

1686055879636.png
 
- Fabrizio Romano on Aubameyang

Al Ahli and Al Shabab have approached Pierre Aubameyang to discuss potential move to Saudi league. #CFC

Auba turned down MLS side LAFC in February as his priority was to continue in European football.Auba will 100% leave Chelsea this summer. No doubts.

1686056059228.png
 
Mason Mount to Man U

Mason Mount = £50m + Harry Maguire

Unasemaje mwana Chelsea, si wangetoa hiyo 50 bila Magwaya?
 
Kama Manchester United na Chelsea FC zisingekuwepo kabisa Mchezaji kama Mudryk asingeuzwa USD 100M au Mchezaji kama Caisedo kuuzwa Paundi mil 80
 
Kama Brighton ndio wangekuwa wanamuuza Colwill wangemuuza kwa Mil ngapi za Paundi
Nadhani wangemuuza kwa Paundi mil 80, sasa kwa nini wao wanataka kutuibia kwa paundi mil 40?
 
Kuna kila dalili akina Boehly watafanya blunder kubwa kuliko ile ya mwanzo, na kama hizi hisia zangu ni kweli basi Chelsea itashuka daraja
Wewe unamuacha Kante aondoke na huku unashupalia mishahara ya chini hadi unpigwa bao ya Ugarte na sasa pia Arsenal wanaweza kutupiga bao la Caisedo. Lavia ni kiungo mzuri lakini hatakiwi aje kuwa regular starter
 
Weapona chupu chupu wa relegation naona mmerelax. Next season nawaona mkiwa tishio ingawa tutapenda sana mkiendelea kuwa punching bag la gym ya Kijiji. Kila mtu anajipigia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom