Hili jamaa linakaba aisee‘Operation Caicedo’ has BEGUN.
Sasa ndio tuko tena kazini, Tulimaliza ya Enzo January na sasa tunamalizia ya Ugerte then tunaanza ya Caisedo hadi kieleweke
Chelsea Midfield Revolution
Arernal mko wapi?
View attachment 2645276
View attachment 2645278
Ameshafeli Chelsea aende tuDah kmamake, nimecheka balaa..
Kwahyo wapewe complete package. Wasihangaike hata nauli, tutawasafirishia hiyo parcel
Sijawahi kumuelewa kabisaAmeshafeli Chelsea aende tu
Akiondoka huyu tumuuze kwa pesa mingi, tutakuja juta baadaye tukimtoa kwa bei rahisi. Pochettino ni kweli amesema anamtaka Havertz yeye ni kocha mzoefu ameona kitu kwake, sisi wengine hatujui lolote kuhusu vipaji vya kwenye mpira. Akiuzwa Havertz, CAM au no. 10 wa kusaidiana na Nkunku lazima tumnunue, may be Felix or Mount asiuzweSio kweli yupo tayari kumtoa wakitoa mzigo wa maana kwa sababu huyo harvetz hana faida kwetu.
Ningeshangaa ikiwa hawakumpa. Save hii ilikuwa dhidi ya Aston Villa na mabeki wetu hawakufanya lolote, ni Kepa pekee ndiye aliyekuwa akihangaika. Save tatu kwa mpigo