MChezaji wa hovyo, Aende tu. Mchezaji gani asiyejua kupga pasi.Chalobah amekataa ofa kutoka Intermilan, amesema yuko tayari kubaki Chelsea na kupigania nafasi yake
Anatarajia kukutana na Pochettino kujadili nafasi inayomfaa pale kwenye first team
View attachment 2643033
Kocha akisha sema anamtaka ameona kitu kwake. Huyo Chalobah mimi sioni tatizo lake, errors anazofanya kwa umri wake huwa inatokea kwa baadhi ya wachezaji. The positive side ya Chalobaha anajituma sana na ni mpambanaji. Mfano alipocheza kwenye RB alicheza vizuri kuliko anavyocheza kwenye nafasi ya CB. Namini Pochettino atamgroomMChezaji wa hovyo, Aende tu. Mchezaji gani asiyejua kupga pasi.
Huyu akipangwa first team ndio nitaanza kumtilia mashaka Poch na uwezo wake wa ukocha.
Wamchukue na tuwape Aubameyang kama kifungashioReal Madrid wameonyesha nia ya kumsajili Havertz
Chelsea wako wazi kwa timu yeyote itakayomuhitaji Havertz ila sio kwa bei ndogo wala mkopo
Chelsea kwa sasa inamdhaminisha Havert kwenye Mil 75
View attachment 2643939
🤣🤣🤣 Acha tuwapige kama waliweza kupigwa na Ajax kwa Antony paund 100M sisi ni nani tusiwapigeHuu utapeli ambao mnataka kuwafanyia manjesta Pepo mtasikia tu
Mount kwa €80m?
Roy Keane:
"Sioni mount akitoboa manjesta,Kama mount alishindwa kuingia kwenye kikos Dhaifu Cha Chelsea ,€80m utakuwa utapeli wa kutisha "
Hakuna mchezaji ananikera na sitaki kumusikia ni huyu.. kama hawezi kuuzwa atolewe hata kwa mkopo.Real Madrid wanatoa Dola mil 75 kwa Havertz
Wengine mnasemaje, auzwe asiuzwe?
Topokee tukatae?
View attachment 2644513
Wewe uangalii mpira, Kai anahold mpira na pia anajua kuangalia uelekeo wa mpira shida kubwa ni hatuna mchezaji wa mwisho hivyo analazimishwa kuwa mchezaji wa mwisho. Mchezeshe Kai nyuma ya mshambuliaji utaona vitu vyake.Hakuna mchezaji ananikera na sitaki kumusikia ni huyu.. kama hawezi kuuzwa atolewe hata kwa mkopo.
Dah kmamake, nimecheka balaa..Wamchukue na tuwape Aubameyang kama kifungashio
Huyo ni mchezaji wetu mkuuWadau ishu ya Nkukuu imekaaje, hivi anakuja Darajani kweli.
Tuwape bure, wasitupe hata mia. Hatutaki dhambi ya kudhulumu.Real Madrid wanatoa Dola mil 75 kwa Havertz
Wengine mnasemaje, auzwe asiuzwe?
Topokee tukatae?
View attachment 2644513
Mnamtetea tu mchezaji gani kalegea kama anakula mlenda.Wewe uangalii mpira, Kai anahold mpira na pia anajua kuangalia uelekeo wa mpira shida kubwa ni hatuna mchezaji wa mwisho hivyo analazimishwa kuwa mchezaji wa mwisho. Mchezeshe Kai nyuma ya mshambuliaji utaona vitu vyake.
mimi huwa nashangaa watu wanaangaliaga mpira kutokea wapi. Kai Hvertz akicheza wide ni mzuri, tatizo huku chelsea tumemfanya striker na muda mwingi yuko out of position akijaribu kucheza wide na kwa mtindo huo lazima ataacha nafasi yake. Mbali na kuhold mipira bado mzuri kwenye kupitisha mipira hadi zile impossible passesWewe uangalii mpira, Kai anahold mpira na pia anajua kuangalia uelekeo wa mpira shida kubwa ni hatuna mchezaji wa mwisho hivyo analazimishwa kuwa mchezaji wa mwisho. Mchezeshe Kai nyuma ya mshambuliaji utaona vitu vyake.