Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1686112677341.png
 
Thomas Tuchel on Kanté : "He is our Mo Salah, our Van Dijk, and our De Bruyne.“He is simply that player. He is our Neymar, our Kylian Mbappe; he is the guy who makes the difference, and if you only have him at 40 percent, it is a huge problem."Goodbye Legend.

1686138805074.png
 
View attachment 2648973
Lenye mwanzo halikosi kuwa na Mwisho. Ila Kwenye Era yetu Ngolo Kante alikuwa ni Kiumbe cha aina yake. Yule ni Binaadamu wa Sayari yake tofauti na Hii Dunia. Heshima zote kwake siku zote na popote atakapokuwa katika maisha yake ya Soka
 
Timo Werner Asema kuhusu Kai na Chelsea
“Haijalishi mapito Chelsea inayopitia, kila mara Kai alipata dakika zake. Katika miaka michache ijayo, timu itarejea pale ilipokuwa." Chelsea bado ni mojawapo ya timu bora zaidi barani Ulaya. Kuna kupanda na kushuka, hasa kwa ligi kuu ya Uingereza"

Asante Werner kwa kuipenda Chelsea hata ukiwa nje ya Chelsea

1686233963297.png
 
-Fabrizio Romano reports

Malang Sarr won’t join AS Monaco on permanent deal and returns to Chelsea, director Paul Mitchell confirms #CFC

“Malang unfortunately got an injury, a muscular abdominal injury in training a few months ago _ Malang has already gone back to Chelsea”, via
@GFFN
.
1686245455420.png
 
View attachment 2650354
Hakuna timu itamtaka huyu jamaa. Ukimuona hapo utasema bonge la mchezaji.
 
Kuna kila dalili akina Boehly watafanya blunder kubwa kuliko ile ya mwanzo, na kama hizi hisia zangu ni kweli basi Chelsea itashuka daraja
Wewe unamuacha Kante aondoke na huku unashupalia mishahara ya chini hadi unpigwa bao ya Ugarte na sasa pia Arsenal wanaweza kutupiga bao la Caisedo. Lavia ni kiungo mzuri lakini hatakiwi aje kuwa regular starter
Sisi Arsenal tunamalizia dili la Rice,had jumamos litakuwa tayari

Kuhusu Caicedo ,Chelsea ndio wapo mbele zaidi , itategemea na uharaka wenu kumaliza dili

Japo tunawataka wote RICEDO ,

Rice Bei yake ni £75-80m tu, Safari hii tuna pesa ya kutumia Hadi £230m hivi

Bado naipa Chelsea asilimia kubwa kwenye dili la Caicedo
 
Kama Brighton ndio wangekuwa wanamuuza Colwill wangemuuza kwa Mil ngapi za Paundi
Nadhani wangemuuza kwa Paundi mil 80, sasa kwa nini wao wanataka kutuibia kwa paundi mil 40?
Huyu Colwill tulimtaka aje Arsenal awe starter kabisa mwaka Jana, Mkatubania , Maskauti walisema ni Moja ya LCB Bora kabisa ,

Nilipokuja kugundua Kina Toddy ni wakurupukaji , wakamnunua Cucurela kwa £62m ,wakamtoa na mkopo juu Colwill ,

Pep Guaediola alimuhitaji ,Ni beki wa kisasa kwenye buildup ,mngejichanganya kuwauzia Brighton ,Sasa hivi wangemuuza £80m
 
Mason Mount to Man U

Mason Mount = £50m + Harry Maguire

Unasemaje mwana Chelsea, si wangetoa hiyo 50 bila Magwaya?
Sema Chelsea wajanja Sana , hasara mliyokula msimu uliopita Kuna uwezekano asilimia kubwa mkairudisha

Mount nimeona leo mtamuuza kwa £70m +10add ons

Kai €70m

Kova €35-40m , japo najua pep atatoa €35m

Kwa kuuza mnaweza kupata hata €200m
 
FIFA World Cup for U20 2023
Top Goal Scorer: Cesare Casadei
6 Matches, 7 goals
Help Italy U20 to the final

Huyu ndie atakuwa top Goal Scorer kwa sababu mwenzake wa Uruguay ana goli 3 tu na yeye Casadei ana goli 7 kwenye mechi 6

Tuna mchezaji hapa. Naomba apewe nafasi ya kuonyesha uwezo wake kwenye first team au apelekwe kwenye descent Loan destination ili akajinoe huko kwa ajilia ya 1 or 2 years to come

1686266139597.png
 
Sisi Arsenal tunamalizia dili la Rice,had jumamos litakuwa tayari

Kuhusu Caicedo ,Chelsea ndio wapo mbele zaidi , itategemea na uharaka wenu kumaliza dili

Japo tunawataka wote RICEDO ,

Rice Bei yake ni £75-80m tu, Safari hii tuna pesa ya kutumia Hadi £230m hivi

Bado naipa Chelsea asilimia kubwa kwenye dili la Caicedo
Sis tunawataka wote msijipe mahope makubwa sana kihivyo
Hawa wamarekani wetu ni wakurupukaji, si mmeona kwa Mudryk?
 
Mpango wa Chelsea kuwauza wachezaji wengi kwa mpigo unamadhara makubwa kwenye mapato ya timu kwani wanunuzi wataweka bei ya chini pungufu ya bei ya soko. Na Chelsea isipowauza wachezaji basi itazuia mpango wa kununua wachezaji hawa watatu; kiungo msaidizi wa Enzo, mshambuliaji wa daraja la dunia na golikipa wa daraja la juu pamoja na replacement ya akina Mount, Kante, Havertz, Kovacic nk.
 
Rahm nae anabaki anafanya nni nae kwa nni asiuzwe tu
 
Kama Chelsea angetia maguu kumtaka Mac Allister angeambiwa bila Paundi Million 100 hakuna biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom