Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Soma taarifa, Levi mwenye haitaki Chelsea na mashabiki wamekasirishwa na interview aliyofanya baada ya Chelsea nafikiri kufungwa na Manure. Yeye anataka kubaki Brighton na tukilazimisha kumleta anaweza asicheze kama alivyocheza Brighton. So always kuna options nyingi nio vyema kubaki na wachezaji ambao watakuwa Loyal kwa timu, amshabiki na kocha
Kweli lakin pia anaweza akabaki kwa matumiz ya backup
 
Klabu yetu tukubali ama tukatae imeharibiwa na ile zile sajili za hovyo hovyo na kukurupuka. Tumesajili wachezaji wa kawaida sana imagine leo hii yule Fofana tunataka kumtoa kwa mkopo, yaani wachezaji wengi ni wakawaida sana.
Akina Datro Fofana na wengine wote waliokuwa chin i ya 21 yrs old waliletwa kwa ajili ya transition ya development team kwenda first team. Mradi wowote endelevu lazima uhakikishe depatrment and age range zote zina uwezo wa kufeed first team.

Njia pekee ya kumfanya mchezaji afae kwenye first team ni kumpeleka kwenye mkopo ili apate game time ya kutosha. Mimi sioni tatizo kubwa kwenye usajili. Tatizo kubwa ilikuwa kwenye maamuzi ya kukurupuka ya wamiliki kuingilia idara zile za kitaalamu na pia access isiyotakiwa kwa wachezaji na kuwakatisha tamaa
Wachezaji wote wadogo mimi sioni mbovu hata mmoja. Akina Kou, Cucu ndio tu mambo haikuwaendea vizuri na ni jambo la kawaida kabisa, Hata timu kama Liverpool na City ambao ndio role model kwenye usajili sio sajili zote zinakuwa perfect
Tumsubiri Pochetino atakavyowachagua wachezaji wa kuendelea nao mbele na waliobaki wataondoka bure, tutawauza au kuwatoa mkopo, habari imeisha
 
Kweli lakin pia anaweza akabaki kwa matumiz ya backup
Kwenye majadiliano ya mkataba mpya amegoma hadi apewe asurance kuwa atacheza regularly Huku kwenye interview ameonyesha haipendi Chelsea. ungekuwa wewe ungefunga ndoa na mwanamke asiyekupenda?

Chelsea don't want to sell Levi Colwill, but there is also concern within the club about his situation. He has two years left on his current contract. A new deal has been on the table for a while, but he hasn’t shown any desire to sign without assurances that he will play…

Fabrizio
Levi Colwill: “I don’t know what is going to happen [at Chelsea]. I’m still here until the end of the season. I just focus on that, we’ll see what happens”, says via
@TheAthleticFC
. #CFC“Brighton have done a lot for me. They put their trust in me when others didn’t”.

Chelsea Dodgers

Exclusive Levi Colwill interview on his future:

“Brighton have done a lot for me. They put their trust in me when others didn't, and I’m a person who loves to repay that. We’ll see."“I don’t know what is going to happen (at Chelsea). I’m still here until the end of the…

Kwa mazingira kama haya ni bora kumuuza akitokea Sweater mwenye mshiko mkubwa ili tubalance vitabu vya fedha na hapo hapo tupate nguvu ya kusajili mbadala wake mwenye uwezo kama yeye au zaidi yake. Hii ndio prefessional football, ni kununua na kuuza kwa faida kama mchezaji ni mzuri na hana tena royalty na timu

Ila hata kwa upande wangu bado uongozi ukitumia hekima bado Colwill anaweza akabaki, akasaini mkataba na kuwa sehemu kubwa ya hii project. Kwa sababu hitaji lake kubwa ni uhakika wa kucheza
 
  • Thanks
Reactions: K11
Sikuwahi kuona ubora wa Felix katika huu muda alikuwa hapa kwa mkopo.
Felix ni mzuri sana kaja kaikuta timu imeoza na bado aliweza kuonyesha ubora wake
Tatizo kubwa la Felix ni temper yake na kashindwana na Diego na kwa sababu hiyo hiyo Pochetino kaona na akamkataa mapema. Yeye anajiona ni bora kama akina mbape na CR7 na kwamba anaweza kumdrive kocha atakavyo yeye. Hiyo hiyo temper aliionyesha Lukaku kwa TT. Sasa wachezaji wa namna hii hawawezi kuka na makocha wanaotaka kutake full control ya circumstance kuanzia dressing room hadi uwanjani. Na kama Pochetinno yuko hivyo ataiboresha sana Chelsea. Diego Simeone yuko hivyo na ndio maana anaipeleka Ateltico Madrid vizuri pamoja na bujeti ndogo ya usajili anayopewa kila mwaka
 
Kwenye majadiliano ya mkataba mpya amegoma hadi apewe asurance kuwa atacheza regularly Huku kwenye interview ameonyesha haipendi Chelsea. ungekuwa wewe ungefunga ndoa na mwanamke asiyekupenda?

Chelsea don't want to sell Levi Colwill, but there is also concern within the club about his situation. He has two years left on his current contract. A new deal has been on the table for a while, but he hasn’t shown any desire to sign without assurances that he will play…

Fabrizio
Levi Colwill: “I don’t know what is going to happen [at Chelsea]. I’m still here until the end of the season. I just focus on that, we’ll see what happens”, says via
@TheAthleticFC
. #CFC“Brighton have done a lot for me. They put their trust in me when others didn’t”.

Chelsea Dodgers

Exclusive Levi Colwill interview on his future:

“Brighton have done a lot for me. They put their trust in me when others didn't, and I’m a person who loves to repay that. We’ll see."“I don’t know what is going to happen (at Chelsea). I’m still here until the end of the…

Kwa mazingira kama haya ni bora kumuuza akitokea Sweater mwenye mshiko mkubwa ili tubalance vitabu vya fedha na hapo hapo tupate nguvu ya kusajili mbadala wake mwenye uwezo kama yeye au zaidi yake. Hii ndio prefessional football, ni kununua na kuuza kwa faida kama mchezaji ni mzuri na hana tena royalty na timu

Ila hata kwa upande wangu bado uongozi ukitumia hekima bado Colwill anaweza akabaki, akasaini mkataba na kuwa sehemu kubwa ya hii project. Kwa sababu hitaji lake kubwa ni uhakika wa kucheza
Ila kuna wakati wachezaji wanakuwa na kibri sana wakiona wanahitajika na timu ila kwa kweli timu kubwa kuliko Lev ila natamani abaki maana Briton kacheza vzr san
 
Lewis Hall, Levi Colwill and Noni Madueke in the Under-21s from Chelsea. It's Hall's first call up, justifies the decision for him not to go to the Under-20s World Cup in someway. Important U21s matches to come. #CFC
 
Manuel Ugarte
  1. Current Salary at Sporting in USD: 22K/week
  2. Chelsea offered: 46k/week
  3. PSG offered: 96k/week
Japo anapenda kuja Chelsea lakini anaweza shawishika kwenda PSG
 
Manuel Ugarte
  1. Current Salary at Sporting in USD: 22K/week
  2. Chelsea offered: 46k/week
  3. PSG offered: 96k/week
Japo anapenda kuja Chelsea lakini anaweza shawishika kwenda PSG
PSG NAO WACHAWI TU HAO HATA WAFANYAJE HAWAFIKI POPOTE
 
World’s most valuable football teams, as per @Forbes
  1. Real Madrid — $6.07 Bn.
  2. Manchester United — €6 Bn.
  3. Barcelona — $5.51 Bn.
  4. Liverpool — $5.29 Bn.
  5. Manchester City — $4.99 Bn.
  6. Bayern Munich — $4.86 Bn.
  7. PSG — $4.21 Bn.
  8. Chelsea — $3.1 Bn.
  9. Tottenham — $2.8 Bn.
  10. Arsenal — $2.26 Bn.
Ila PEP kaipaiza sana City
 
Yaani Kepa anaonewa kiasi hiki wenzake wako wapi?

OFFICIAL: Kepa Arrizabalaga's save against Jacob Ramsey vs Aston Villa has been nominated for the Premier League’s Castrol Save of the Season.

EXCL: Manchester City have opened concrete talks to sign Mateo Kovacic in the summer. Positive discussions took place with player’s camp in the last few days over personal terms

#MCFCChelsea, open to selling Kovacic as part of midfield revolution. Talks will continue soon.

- Fabrizio Romano

1685552044286.png
 
Chelsea at the #FIFAU20WorldCup:
  1. Cesare Casadei: 4 Goals + 1 Assist
  2. Gabriel Slonina: 4 Clean Sheets
  3. Kendry Paez: 1 Goal + 2 Assists
  4. Harvey Vale: 1 Assist
  5. Bashir Humphreys: 1 Goal + 2 Clean Sheets
Young Blues in the making
 
EXCL: Manchester City have opened concrete talks to sign Mateo Kovacic in the summer. Positive discussions took place with player’s camp in the last few days over personal terms

#MCFCChelsea, open to selling Kovacic as part of midfield revolution. Talks will continue soon.

- Fabrizio Romano

View attachment 2641746
Kova ni jembe Sana sijui kwanini anauzwa
 
Andrey Santos afunga magoli mawili leo na kuiwezesha Brazil kuingia robo finali ya kombe la dunia kwa U20

Pia Amekuwa MOTM

1685564901792.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom