Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu wangu Ntuzu; mie namkubali Di Matteo si mchezo;
Sihitaji kumzungumzia kwa sababu kila mtu anajua alichofanya:
Kwa waisojua waulize Bayern Munich na Barcelona. Di Matteo na Gianluca Viali ni wachezaji wawili waliocheza Chelsea kwa mafanikio na wakaisaidia timu kuchukua makombe wakiwa Makocha.
Di Matteo #16.

Mkuu Nilikuuliza kwa kukuchokoza tu! Mimi mwenyewe sina namna ya kuweza kumzungumzia Huyu Di Matteo!

Mpk kesho natamani Abramovich amrudishe pale Chelsea angalau wampe kazi ya kusaka vipaji!
 
LEGENGS
2. Jimmy Floyd Hasselbaink #9
Huyu ni mchezaji pekee katika historia ya Chelsea hadi sasa kuweza kufunga magoli matatu(hat-trick) ndani ya mechi 1 huku akitokea benchi.
Jimmy Floyd Hasselbaink aliondoka Chelsea 2004 baada kuwasili kwa the Special One.
 
Di Matteo atarudi, ngoja afike miaka 50.
Mkuu Nilikuuliza kwa kukuchokoza tu! Mimi mwenyewe sina namna ya kuweza kumzungumzia Huyu Di Matteo!

Mpk kesho natamani Abramovich amrudishe pale Chelsea angalau wampe kazi ya kusaka vipaji!
 
LEGENDS
3. CLAUDE MAKELELE:
Huyu mchezaji hajatokea kama yeye kabla na baada yake. Alikuwa anacheza mbele kidogo ya mabeki wa kati kama kiungo mkabaji.
Alisajiliwa kutoka Real Madrid msimu wa 2004.
Alikuwa anavaa #4.
Website ya Chelsea inasema hivi kuhusu Makelele; "The only Chelsea player to have had a position named after him."
Yaani jukumu alilokuwa nalo uwanjani hakuna mtu amewahi kuwa nalo kabla yake. Huyu jamaa alikuwa anakaba; Kushoto kwake Thiago #30, na Frank Lampard #8. Nyuma yake John Terry, Calvaho,Gallas na Paulo Ferreira.
Msimu huo tulicheza mechi zote za ligi (mechi 38) na kupata clean sheets 25.
Tulifungwa magoli 15 tu msimu mzima na tukawa mabingwa wa kihistoria kwa kufikisha points 95.
Tulifungwa magoli 6 tu msimu mzima kwenye uwanja wetu wa Stanford Bridge. Yote hayo kwa sababu huyo Jamaa Claude Makelele. Aliondoka mwaka 2008, akiwa mchezaji huru. Chelsea walimwacha aende huru kwa sababu ya heshimu aliyokuwa nayo kwenye timu.
 
  • 1. Dennis Bergkamp (Ajax)
  • 2. Remi Garde (Lyon)
  • 3. Tony Adams (Gabala)
  • 4. Martin Hayes (Dover Athletic)
  • 5. Brian McDermott (Reading)
  • 6. Vladimir Petrovic (Serbia)
  • 7. Pat Scully (Limerick)
  • 8. Paul Dickov (Oldham)
  • 9. Brian Marwood (Manchester City)
  • 10. John Jensen (Blackburn)
  • 11. Ian Allinson (Boreham Wood)
Hao waliwahi kuwa wachezaji wa Arsenal Fc na baadaye wakawa makocha wa timu mbalimbali; nimejibu hoja yako Mr.Ntuzu; mie sina longolongo ingawa watani zetu kama Siziga wanadharau mchango wangu.
Kwa nyongeza tu, wachezaji wengi wa Arsenal wanapostaafu wanakuwa waandishi wa habari kuliko kuwa makocha.

Mkuu unaifahamu sababu kuu iliyoifanya France Mwaka. 2002 kutolewa mapema kwenye kombe la Dunia?

Nakumbuka tulipokwenda kwenye kombe la Dunia Mwaka huo Madrid walikua mabigwa Wa ulaya kwa goli Zuri la Zidane ktk kikosi kilichokua Pamoja na Claudio Makelele!

Roger Lemerre Kocha Wa France alikataa ushauri Wa Zidane na Henry na kumchukua bench mechi zote Makelele na kumchukua Emanuel Petit. Na hii ilipelekea ngome ya France kua mbovu! Na kutolewa mapema!

Mwaka 2006 Mzee Dominic Wa France alikubali kusikiliza maoni ya Zidane na Henry na ninafikiri wengi tuliona France ilivyo fanya!

Hawa watu nguli kwa Chelsea watakumbukwa daima
 
Benchi la Ufundi la Chelsea Fc:
1. Manager/Head Coach = Jose Mourinho.
2. Msaidizi wa kwanza = Steve Holland(alikuwa msaidizi wa Di Matteo)
3. Msaidizi wa pili = Rui Faria(alikuwa na Mourinho mwaka 2004)
4. Msaidizi wa tatu = Silvino Louro-kipa wa zamani wa Benfica.(alikuwa na Mourinho mwaka 2004)
5. Kocha wa makipa = Christophe Lollichon(alikuja chelsea 2007, alikuwa kocha wa petr cech kule Renes Ufarans.)
6. Michael Emenaro = Mkurugenzi wa Ufundi.
7. Paco Biosca = Mkuu wa Madaktari
8. Dermont Drummy = kocha mkuu wa kikosi cha wachezaji wa chini ya miaka 21; akina Adam Nditi.
 
Hawa waliokua wachezaji wetu Emanuel Petit na Marcel Desailly wako wapi?

Marcel Desailly nafikiri anafanya kazi ya Uchambuzi Wa soccer, Huyu Petit atakua wapi?
 
  • 1. Dennis Bergkamp (Ajax)
  • 2. Remi Garde (Lyon)
  • 3. Tony Adams (Gabala)
  • 4. Martin Hayes (Dover Athletic)
  • 5. Brian McDermott (Reading)
  • 6. Vladimir Petrovic (Serbia)
  • 7. Pat Scully (Limerick)
  • 8. Paul Dickov (Oldham)
  • 9. Brian Marwood (Manchester City)
  • 10. John Jensen (Blackburn)
  • 11. Ian Allinson (Boreham Wood)
Hao waliwahi kuwa wachezaji wa Arsenal Fc na baadaye wakawa makocha wa timu mbalimbali; nimejibu hoja yako Mr.Ntuzu; mie sina longolongo ingawa watani zetu kama Siziga wanadharau mchango wangu.
Kwa nyongeza tu, wachezaji wengi wa Arsenal wanapostaafu wanakuwa waandishi wa habari kuliko kuwa makocha.

mbona david o'leary hayupo.
 
Aliifikisha leeds united semi final uefa champions league 2001 na kutolewa na valencia baadaye 2003 akaenda aston villa
 
Mr Ntuzu;
Emmanuel Petit #17
Alikuwa mchezaji wa Monaco, akaenda Arsenal 1997-2000.
2000-2001 alikuwa Barcelona.
2001-2004 alicheza kwetu Chelsea Fc alikuwa anavaa #17.
Baada ya kutoka Chelsea aliamua kustaafu kwa sababu ya majeraha na pia kwa sababu alikosa timuy kumsajili. Jamaa ni mchambuzi wa mpira huko Ufaransa.
Marcel Deseilly (alizaliwa Accra Ghana,akaitwa Odenke Abbey) alibadili jina kwa sababu mama yake aliolewa na Mfaransa; na hatimaye jamaa akawa raia wa Ufaransa.

Alisajiliwa Chelsea Fc kutokea AC Milan mwaka 1998. Alicheza Chelsea hadi 2004.
Jamaa alicheza jumla ya mechi 158. Alifunga magoli 6 tu akiwa mchezaji wa Chelsea.
Alikuwa Beki imara, alikuwa kapteni pia kabla ya John Terry #26 hajapewa wadhifa huo.
Kwa sasa mara kadhaa anafanya kazi ya uchambuzi wa mpira hasa kule BBC.
Hawa waliokua wachezaji wetu Emanuel Petit na Marcel Desailly wako wapi?

Marcel Desailly nafikiri anafanya kazi ya Uchambuzi Wa soccer, Huyu Petit atakua wapi?
 
timu inayopaki basi haiwezi kupata matokeo haya:
Chelsea 2- 1 Man City
Chelsea 2- 1 Liverpool FC
Chelsea 3 - 1 Man Utd
Arsenal 0 - 0 Chelsea
Arsenal 0 - 2 Chelsea(kombe la ligi 2013)
Chelsea 3- 0 Shalke
Shalke 0 - 3 Chelsea.
Chelsea 4 - 0 Steau Bucharest

timu inayopaki basi haiwezi kuwa n goal difference +23.
Timu inayopaki basi haiwezi kushinda mechi 6 mfululizo; itawezaje wakati wachezaji wanabaki nyuma?
Timu inayopaki basi hujalazimishwa kuishangilia; wala hawajuomba wewe uwe mshauri wao wa ufundi; wamempa kazi hiyo George Emenaro + Jose Mourinho, Rui Faria, Steve Holland, Silivinho Louro;

Peleka ushabiki wako kwenye mpira wa makaratasi tuachie
; "professional football" ligi inayokufaa itaanza jumamosi huku tuachie tunaojua.

mbona umeiruka mechi ya chel'sink' dhidi ya NEWCASTLE UTD pia dhidi ya FC BASEL??
 
mbona umeiruka mechi ya chel'sink' dhidi ya NEWCASTLE UTD pia dhidi ya FC BASEL??

Hiyo ni mifano tu Dully Jr;
Hakuna timu isiyofungwa; tofauti ni nani aliyefungwa zaidi; kwenye ligi ya Uingereza Chelsea Fc imefungwa mechi 3 tu.
Newcastle United (walitufunga 2 kwa bila)
Stoke City(walitufunga 3 kwa 2)
Everton(walitufunga 1 kwa bila)

Timu zilizofungwa mechi chache msimu huu:
Everton kafungwa 2
Chelsea kafungwa 3.
Arsenal kafungwa 3.
Man City kafungwa 4.
 
Mkuu Rockcity native ni kweli nilikuwa nimesahau. Jina lake ni David O' Leary
Huyu alicheza Arsenal enzi zilee 1975 -1993.
Akahamia Leeds United 1993-1995.

Alianza kazi ya kufundisha Leeds United mwaka 1998 - 2002.

Baada ya kutoka Leeds United akaenda Aston Villa(timu ya mjini Birmingham) akafundisha 2003-2006.
Baadaye akaenda Al - Ahli 2010-2011.
Bila shaka "watani" zangu Arsenal nimewatendea haki au vipi jamani?
Aliifikisha leeds united semi final uefa champions league 2001 na kutolewa na valencia baadaye 2003 akaenda aston villa
 
Mkuu Rockcity native ni kweli nilikuwa nimesahau. Jina lake ni David O' Leary
Huyu alicheza Arsenal enzi zilee 1975 -1993.
Akahamia Leeds United 1993-1995.

Alianza kazi ya kufundisha Leeds United mwaka 1998 - 2002.

Baada ya kutoka Leeds United akaenda Aston Villa(timu ya mjini Birmingham) akafundisha 2003-2006.
Baadaye akaenda Al - Ahli 2010-2011.
Bila shaka "watani" zangu Arsenal nimewatendea haki au vipi jamani?

watani zako fulham sio sisi. Sisi we2 spurz
 
BREAKING NEWS:

From the Chelsea Website;
"Chelsea Football Club can confirm an agreement has been reached with FC Basel for the transfer of their 21-year-old attacking midfielder Mohamed Salah.

The move is subject to the Egyptian international agreeing personal terms and completing a medical examination."

Mata ameuzwa kwa M.37 huyu dogo Mohamed Salah ananunuliwa kwa M.11.5 tu.
Mourinho the Special One.
cc. Mentor, Ntuzu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom