Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BREAKING NEWS:

From the Chelsea Website;
"Chelsea Football Club can confirm an agreement has been reached with FC Basel for the transfer of their 21-year-old attacking midfielder Mohamed Salah.

The move is subject to the Egyptian international agreeing personal terms and completing a medical examination."

Mata ameuzwa kwa M.37 huyu dogo Mohamed Salah ananunuliwa kwa M.11.5 tu.
Mourinho the Special One.
cc. Mentor, Ntuzu

halafu kwa nin chelsea mnakuaga na tabia ya kuingilia rada za watu. Huyu salah si alikua anajiandaa kwenda anfield? Na kwa wilian mlifanya hivyo hivyo kwa spurz. Sawa fitna zipo popote pale lakini sometyme haipendez yani nyie hadi mchungulie kwa w2.
 
Mekatazwa Na Nyie kuchungulia? Komaeni na Nyie Km mnaweza Fitina!
 
BREAKING NEWS:

From the Chelsea Website;
"Chelsea Football Club can confirm an agreement has been reached with FC Basel for the transfer of their 21-year-old attacking midfielder Mohamed Salah.

The move is subject to the Egyptian international agreeing personal terms and completing a medical examination."

Mata ameuzwa kwa M.37 huyu dogo Mohamed Salah ananunuliwa kwa M.11.5 tu.
Mourinho the Special One.
cc. Mentor, Ntuzu

Mwanangu Asante sn kwa Taarifa! Tuko Pamoja mpaka tuchukue ubingwa Mwaka huu!
 
BREAKING NEWS:

From the Chelsea Website;
"Chelsea Football Club can confirm an agreement has been reached with FC Basel for the transfer of their 21-year-old attacking midfielder Mohamed Salah.

The move is subject to the Egyptian international agreeing personal terms and completing a medical examination."

Mata ameuzwa kwa M.37 huyu dogo Mohamed Salah ananunuliwa kwa M.11.5 tu.
Mourinho the Special One.
cc. Mentor, Ntuzu

mbona wanasema mata hauzwi ila anawekwa sokoni na sky sport sosi ni chelsea source at twitter..
 
wenger action on mata

Wenger questions Chelsea´s decision to sell Mata 23 January 2014 13:13 Arsene Wenger has questioned the reasons behind Chelsea's openness to selling Juan Mata to Manchester United. Mata is said to be heading to Manchester for a medical on Thursday after United reportedly agreed a club-record fee of around £37million for the Spain international on Wednesday. The former Valencia man was Chelsea's player of the season two years in a row after moving to Stamford Bridge in August 2011, but has found himself out of favour since Jose Mourinho returned to the club ahead of this campaign. And Wenger believes Mata is only being allowed to move to Old Trafford because Chelsea have already played United twice in the Premier League this season, most recently in their 3-1 home win last Sunday. "Yes I am (surprised) because Juan Mata is a great player, and they (Chelsea) are selling a great player to a direct opponent," Wenger said. "(It) opens up the opportunities in the transfer market because Chelsea have already played twice against Man United and so don't have to play them again. "Some teams have already played twice against one opponent and some others not, and I think if you want to respect the fairness for everybody that should not happen. "I can understand completely what Chelsea are doing, it's within the rules but maybe the rules should be adapted for fairness." Premier League leaders Arsenal still have to play both Chelsea and United in their remaining 16 games this term, with United first up in mid-February.
 
Wenger tumemezoea; wewe Ndetichia ni mshabiki wa Man City au siyo?
Acha kutunyima raha bhana..sisi tumeshapiga hela ndefu muda huu saafi kabisa;
Mata M.37 - Sala M.11 = M.26faida.
Tutake nini kingine?
Manchester siyo tishio tena tunawauzia Mata na hawataweza kuingia top 3 nakuhakikishia.
wenger action on mata

Wenger questions Chelsea´s decision to sell Mata 23 January 2014 13:13 Arsene Wenger has questioned the reasons behind Chelsea's openness to selling Juan Mata to Manchester United. Mata is said to be heading to Manchester for a medical on Thursday after United reportedly agreed a club-record fee of around £37million for the Spain international on Wednesday. The former Valencia man was Chelsea's player of the season two years in a row after moving to Stamford Bridge in August 2011, but has found himself out of favour since Jose Mourinho returned to the club ahead of this campaign. And Wenger believes Mata is only being allowed to move to Old Trafford because Chelsea have already played United twice in the Premier League this season, most recently in their 3-1 home win last Sunday. "Yes I am (surprised) because Juan Mata is a great player, and they (Chelsea) are selling a great player to a direct opponent," Wenger said. "(It) opens up the opportunities in the transfer market because Chelsea have already played twice against Man United and so don't have to play them again. "Some teams have already played twice against one opponent and some others not, and I think if you want to respect the fairness for everybody that should not happen. "I can understand completely what Chelsea are doing, it's within the rules but maybe the rules should be adapted for fairness." Premier League leaders Arsenal still have to play both Chelsea and United in their remaining 16 games this term, with United first up in mid-February.
 
Mkuu Ndetichia ukitaka kupata habari zetu chelsea za uhakika nenda official website "WWW.CHELSEA FC.COM" au tovuti ya Mashabiki wa Chelsea; Chelsea FC News. Mata anaenda. jana jumatano hajafanya mazoezi na wenzake na hata leo. Sasa Mo Salah anakuja.
mbona wanasema mata hauzwi ila anawekwa sokoni na sky sport sosi ni chelsea source at twitter..
 
Mpira ni pesa; Liverpool hawana pesa.
Pia kocha BR ni vigumu kwa mchezaji kwenda pale kwa sababu kila mchezaji anatamani kufundishwa na kocha mkubwa; ili achukue mataji.
halafu kwa nin chelsea mnakuaga na tabia ya kuingilia rada za watu. Huyu salah si alikua anajiandaa kwenda anfield? Na kwa wilian mlifanya hivyo hivyo kwa spurz. Sawa fitna zipo popote pale lakini sometyme haipendez yani nyie hadi mchungulie kwa w2.
 
TRANSFER NEWS:

Wakuu kama mjuavyo; Chelsea Fc "imeshauza" wachezaji wawili katika msimu huu wa "dirisha dogo la usajili'
Mchezaji wa kwanza kuuzwa alikuwa Kelvin De Bruyne ambaye amerudi ligi ya Bundesliga kwa ada ya M.17. Mchezaji huyu alisajiliwa na Chelsea kwa ada ya M.7, kwa hiyo mauzo yake yamerudisha faida ya M.10;
Chelsea inafanya 'biashara yenye faida tupu'
 
ON LOAN PLAYERS:

Aisee mchezaji wetu Ryan Betrand #34 ambaye alipandishwa kutoka timu ya vijana wa Chelsea miaka 2 iliyopita; na ambaye alichea mechi yake ya kwanza kwenye UCL kwenye fainali ya Bayern Munichi 2012.
Tumempeleka kwa mkopo Aston Villa. Kwenda kwa Ryan Betrand Aston Villa kumeifanya Chelsea Fc ifikishe idadi ya Wachezaji 23 wanaocheza kwa mkopo sehemu mbalimbali Uingereza na Ulaya kwa ujumla.
 
Yeah! Tumetimia; huwa namuaminia mkuu Mentor linapokuja suala la kutupia picha za kupamba jukwa letu.

Sasa thread yetu inapendeza kwa sababu tunakuwa na mijadala yenye akili.
Ni raha kua mshabiki Wa Chelsea! Yani ata biashara sisi tunajua! Hakuna hasara kwa Chelsea!

agosti 8
 
FIFA Best Coaches of the Year(kocha bora wa kila mwaka) tuzo hii ilianzishwa mwaka 2010:

Makocha bora wa mwaka 2010.
1. Jose Mourinho
2. Vicente Del Bosque.
3. Josep Guardiola.

Makocha bora mwaka 2011
1. Pep Guardiola.
2. Alex Ferguson.
3. Jose Mourinho.

Makocha bora mwaka 2012.
1. Vicente Del Bosque.
2. Jose Mourinho.
3. Josep Guardiola.
4. Roberto Di Matteo.

Makocha bora mwaka 2013.
1. Jupp Heynckes.
2. Jurgen Klopp.
3. Alex Ferguson.

Naona Yule Mwalimu Wa watoto Yule jirani yetu pale London hayumo ata Mara moja jina lake!

Cc Katavi Balantanda Piere. Fm Sizinga Ulimakafu rockcity Native wandugu Masanja
 
Last edited by a moderator:
Kazidiwa mpk na Di Matteo!

Watani zetu wamezoea kunyang'anywa tonge mdomoni;
Waliingia Fainali ya EUROPIAN CUP (UEFA NDOGO) miaka ilee wakatolewa na Galatasaray ya Uturuki kwa penati;

Wakajikongoja tena mwaka 2006 wakaingia fainali ya CHAMPIONS LEAGUE;
Ilikuwa Arsenal vs Barcelona: Matokeo yakawa Barcelona 2 - 1 Arsenal(walitangulia kufunga goli, alifunga Sol Campbell kwa kichwa) lakini ndo vile tena..imebaki stori.

article-2544925-1AE9660300000578-633_634x615.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom