Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,598
- 35,865
Cheltako KASHINDIKANA jaman kila mtu anajipigia malaya wa kimboka
Nenda wewe ukatanue huo uwanja babu kama unaona ni rahisiLampard angemuingiza Mudyk, atanue uwanja kushoto na Madueke atanue uwanja kulia, zifunguke nafasi za kushambulia.
Kwasasa Madueke amebanwa upande mmoja anashindwa kufanya mavitu.
Huku upande wa kushoto paparazi anatangaza upinde







Sajili nyingi mbovu na hypedtoo many talentskocha anaekuja ana kazi kwelikwely awa madogo wanataka namba
View attachment 2616118
HakikaUmemn'gan'gania huyo Toney sijui unampenda nini huyo sio mchezaji wa kiwango Cha Chelsea
Mtu ambaye hana hata balance anakimbia kama anaumwa atamtisha nan??Hivi badala ya Havertz nani angecheza hiyo nafasi? Kai anawapa pressure mabeki kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea.
Hii sarakasi ya Kerr nzuri sana, hadi nasikia raha
Hii sarakasi ya Kerr nzuri sana, hadi nasikia raha
The blues
Mdogo mdogo mpka ubingwa
Hii ndyo Chelsea ninayoijua
The blues forever



