Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unazungumzia "professional football" huku unaleta mifano ya mpira wa "ridhaa na bonanza"? sasa Mbeya City unalinganisha na Chelsea? Timu ambayo haina hata uwanja wa kuchezea mechi za ligi? Kweli umeishia mifano mwanangu; sasa naona unapagawa; wivu huo unakuchanganya unaanza kuweweseka ..ha haa ha.:laugh::laugh:
tapika tapika hadi povu la mwisho.. Timu gan inajihami hata ikicheza na mbeya city mtaweka watu 6 katika defence line
 
timu inayopaki basi haiwezi kupata matokeo haya:
Chelsea 2- 1 Man City
Chelsea 2- 1 Liverpool FC
Chelsea 3 - 1 Man Utd
Arsenal 0 - 0 Chelsea
Arsenal 0 - 2 Chelsea(kombe la ligi 2013)
Chelsea 3- 0 Shalke
Shalke 0 - 3 Chelsea.
Chelsea 4 - 0 Steau Bucharest

timu inayopaki basi haiwezi kuwa n goal difference +23.
Timu inayopaki basi haiwezi kushinda mechi 6 mfululizo; itawezaje wakati wachezaji wanabaki nyuma?
Timu inayopaki basi hujalazimishwa kuishangilia; wala hawajuomba wewe uwe mshauri wao wa ufundi; wamempa kazi hiyo George Emenaro + Jose Mourinho, Rui Faria, Steve Holland, Silivinho Louro;

Peleka ushabiki wako kwenye mpira wa makaratasi tuachie
; "professional football" ligi inayokufaa itaanza jumamosi huku tuachie tunaojua.
tapika tapika hadi povu la mwisho.. Timu gan inajihami hata ikicheza na mbeya city mtaweka watu 6 katika defence line
 
Hata akiuzwa hakuna hasara; alinunuliwa kwa M.23, atauzwa kwa M.40 hiyo ndo biashara ya mpira;
Mchezaji anasajiliwa ili acheze na alete mataji; mata ameshatoa mchango wake kwa Chelsea; akienda si mwisho wa Chelsea kupata wachezaji wazuri; akawasaidie Man Utd wasije wakashuka daraja tukakosa "watani" bure!
Mata hauzwi kwa taarifa yako; jaribu kufuatilia kwa umakini
 
Watu wangu wa nguvu niambieni kwanini kocha wetu asingemuuza mata nje ya england kwani inauma sana kumuangalia akitesa mbele yetu au imekaaje hii nijuzen!

Tunaangalia ofa nzuri; Sisi Man Utd tumeshalipa madeni yao; 3-1.
Mata akienda Man Utd atakutana na Arsenal na Man City atawasaidia kupunguza magoli na kuzuia wasije kushuka daraja tukakosa "watani".
Mata anauzwa kwa faida; alinunuliwa kwa M.23, anauzwa kwa M.40. Hiyo ndo akili ya biashara.
Chelsea wameangalia ofa nzuri, tena huu ndo wakati mzuri wa kumuuza mata kwa bei nzuri.
Pesa watakayopata wanaweza kusajili wachezaji 2 wa kiwango kizuri tu. Kelvin De Bruyne tumemuuza Ujerumani kwa hela nzuri mara 3 ya pesa tuliyomnunua kutoka Genk.
Mata ameshindwa kupigania namba; mafundi wengi sana; Oscar-Willian-Hazard-Shurrle-Ramires sasa mwache aende.
 
timu inayopaki basi haiwezi kupata matokeo haya:
Chelsea 2- 1 Man City
Chelsea 2- 1 Liverpool FC
Chelsea 3 - 1 Man Utd
Arsenal 0 - 0 Chelsea
Arsenal 0 - 2 Chelsea(kombe la ligi 2013)
Chelsea 3- 0 Shalke
Shalke 0 - 3 Chelsea.
Chelsea 4 - 0 Steau Bucharest

timu inayopaki basi haiwezi kuwa n goal difference +23.
Timu inayopaki basi haiwezi kushinda mechi 6 mfululizo; itawezaje wakati wachezaji wanabaki nyuma?
Timu inayopaki basi hujalazimishwa kuishangilia; wala hawajuomba wewe uwe mshauri wao wa ufundi; wamempa kazi hiyo George Emenaro + Jose Mourinho, Rui Faria, Steve Holland, Silivinho Louro;

Peleka ushabiki wako kwenye mpira wa makaratasi tuachie
; "professional football" ligi inayokufaa itaanza jumamosi huku tuachie tunaojua.

makelele ya nin tusubiri tuone mwisho wa siku nani atatupa taulo. Na nnakuhakikishia kufika march mwishon mtakua sawa na man u
 
makelele ya nin tusubiri tuone mwisho wa siku nani atatupa taulo. Na nnakuhakikishia kufika march mwishon mtakua sawa na man u

Wakati huo wewe utakuwa hapa; :faint:maana utashindwa kuvumilia kutuona kileleni mwa ligi kuu; huku tukisubiri kucheza mechi za robo fainali ya UCL baada ya kuwatoa Galatasaray; utakubali yaishe mwaka huu:
 
Mkuu agosti 8 kwa fact ulizomwaga hapo juu Bilashaka atakaebisha atakua anamatatizo ya akili!
 
Last edited by a moderator:
FACT:
Real Madrid haijawahi kuifunga Chelsea FC katika mechi yoyote ya kimashindano:
Mechi pekee ya mashindano ambayo Chelsea na Real Madrid walicheza ilikuwa mwaka 1998.
Ilikuwa mechi ya Super Cup;
Chelsea alikuwa ameshinda kombe la Winners Cup; Madrid walikuwa wameshinda kombe la Champions League.
Matokeo yalikuwa hivi; Chelsea Fc 1 - 0 Real Madrid.
Goli hilo pekee lilifungwa na kiungo wetu "machachari" Gustavo "Gus" Poyet #8,
Gus Poyes kwa sasa anafundisha Sunderland; na usiku wa kuamkia leo amepeleka kilio kwa "Mashetani Mekundu"..

Asante mkuu wangu Ntuzu;

Chelsea imewahi kuiadhiri Arsenal kwa kuifumua goli 5-0, msimu wa 1998/1999.
Enzi hizo 'watani' zetu walikuwa wanavaa zile jezi maarufu za JVC.

Chelsea walikua na Autograss
 
Kabisa mkuu wangu enzi za AUTOGLASS.
Kocha wakati huo alikuwa GIANLUCA VIALLI (kocha mchezaji)

Mwanangu nafatilia data kuona Km Chelsea inaongoza kwa kutoa wachezaji ambao baada ya kustaafu soccer wakawa makocha!
 
Kama hizi kwanza;
1. Mark Hughes -Chelsea(sasa kocha wa Stoke)
2. Steve Clarke -Chelsea (alikuwa msaidizi wa Mourinho, akawa msaidizi wa KD pale Liverpool.
3. Gus Poyet-Chelsea(sasa kocha wa Sunderland)
4. G. Zola alikua kocha Westham.
5. Zenden alicheza Chelsea 2002, alikuwa msaidizi wa Rafa Benitez.
6. Di Matteo-sihitaji kusema sana kumhusu huyu.
7. Eddie Newton-huyu alikuwa msaidizi wa Di Matteo.
8. Andre Flo(#19) alicheza Chelsea miaka ya 98 sasa anafundisha timu ya vijana wa Chelsea.
9. Ruud Gullit alicheza Chelsea na akawa kocha wa Newcastle 98.

Ntarudi baadaye ..angalau umepata za fasta fasta toka kichwani:
Mwanangu nafatilia data kuona Km Chelsea inaongoza kwa kutoa wachezaji ambao baada ya kustaafu soccer wakawa makocha!
 
Nyongeza:

10. Gianluca Vialli - alikuwa #9 wa Chelsea na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa kocha wakati Chelsea inaifunga Man Utd 5-0.
11. Dan Petrescu - alikuwa mchezaji mzuri wa Chelsea miaka ya 1998, hatimaye akawa kocha kwenye timu ya huko kwao Romania.
12. Ray Wilkins - alikuwa kapteni wa zamani wa Chelsea, miaka ya zamani. Wilkins alikuwa kocha msaidizi chini ya Guus Hiddink mwaka 2009, na akawa msaidizi wa Carlo Ancelotti 2009-2010.
Kumbuka kwamba Ray Wilkins amewahi kuwa kocha wa Chelsea (interim) kwa mechi moja tu; ilikuwa mwezi 2, mwaka 2009 kabla Guus Hiddink hajateuliwa kuwa kocha mkuu.
Kwa sasa Ray Wilkins ni kocha msaidizi wa Fulham; timu ya Fulham ni timu ya mtaa mmoja na Chelsea;

Thx Mkuu mi nataka kuangalia timu Km Man U na Arsenal then nilinganishe na Chelsea nione Km sisi tumewazidi au laa!
 
Thx Mkuu mpk hapo tayari Chelsea iko na makocha 12.

Mkuu agosti 8 mbona De Mateo hutaki kumzungumzia sn? Kwakweli huyo jamaa ni kiboko! Ktk history ya Chelsea kamwe hatosahaulika!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Ntuzu; mie namkubali Di Matteo si mchezo;
Sihitaji kumzungumzia kwa sababu kila mtu anajua alichofanya:
Kwa waisojua waulize Bayern Munich na Barcelona. Di Matteo na Gianluca Viali ni wachezaji wawili waliocheza Chelsea kwa mafanikio na wakaisaidia timu kuchukua makombe wakiwa Makocha.
Di Matteo #16.
Thx Mkuu mpk hapo tayari Chelsea iko na makocha 12.

Mkuu agosti 8 mbona De Mateo hutaki kumzungumzia sn? Kwakweli huyo jamaa ni kiboko! Ktk history ya Chelsea kamwe hatosahaulika!
 
LEGENDS:
1. Dennis Wise #11(the captain)
Alianza kuwa kapteni mwaka 1993, jamaa amecheza jumla ya mechi 445 na kufunga magoli 76.
Moja wapo ya magoli muhimu ambayo kapteni Wise alifunga ni ile mechi ya 1999.
Ilikuwa AC Milan 1 - 1 Chelsea.(wakati huo Milan haikuwa timu ya mchezo).Ilikuwa mechi ya Champions League: Milan walipata goli dakika ya 70+, na Chelsea wakafanya mabadiliko akatoka Gus Poyet akaingia Roberto Di Matteo; Di Matteo ndo aliyetoa pasi kwa mfungaji wa goli hilo Dennis Wise.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom