Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunapenda kucheza gemu "kubwa" si gemu za kawaida;
Sisi tulicheza na Barcelona tukiwa pungufu pale kwao Camp Nou na tukafanikiwa kurudisha goli 2 zote tukiwa pungufu: Walifunga goli 2 tukiwa pungufu(JT) alitolewa kwa kadi nyekundu; Tulicheza pungufu na tukawatoa nje ya mashindano (Mabingwa Watetezi wa UCL);
2. Tulicheza fainali na Bayern Munich, tulifungwa tukasawazisha; kwenye penati tulianza kukosa; hatimaye wakakosa na wao penati 2, tukaangamiza palepale barazani kwao. Cheza mbali na Chelsea bhana.
3. Napoli walitufunga mechi ya kwanza nyumbani kwao 3-1; tukaja kuwaangamiza Darajani 4-1.

Hatutishiwi na Man City hata wao wanajua; beki ya Man City ni mbovu sana; mafundi wangu Oscar-Willian-Hazard watafanya kama walivyofanya juzi na "mashetani wekundu" wanawavuta adui alafu tunacheza pasi za kupenyeza; kwa ETO'O # 29; Man City walala hoi siku hiyo.:whip:
Kamata tano Mwanangu!
 
Kula tano nyingine Mwanangu!

Hawa jamaa sijui uwambieje ili wasikie Na kuelewa kua Chelsea na Mourinho kwa ujumla ni kiboko? Au mpk utumie lugha gongana ndo watakuelewa?!

Nkwela Mentor
 
Last edited by a moderator:
Timu nyingine wafungaji wa magoli wanajulikana:
Liverpool mfungaji wao ni Suarez, ambaye pia ndo anayeongoza kwa kufunga katika ligi(kama sijakosea); lakini sisi wachezaji wote wanaweza kufunga magoli:
Hazard anafunga, Oscar anafunga, Willian anafunga, Eto'o anafunga, mabeki wanafunga, hata Mikel anafunga "anapopenda mwenyewe" yaani ndo maana sisi huwezi kutuzuia; maana tukitaka kufunga tunafunga: Kama mvua vile ikitaka kunyesha itanyesha tu.:whip:

Tena Mwanangu ikinyesha hiyo mvua ya chelsea inapitia madaraja na kuyakata Km Dumira pale Morogoro!

Chezea Chelsea Wewe?!!!!! Utasombwa na Maji!
 
Naona mnaanza kujihami mapema...mbona wenzenu wapo kimya tu...!!! Ujue hata mgonjwa mahhututi akianza kuongea na kupata nafuu ujue kesho yake mbali,....anzeni kuandaa kaburi. Ndio nyie hapo Ntuzu agosti 8
 
Last edited by a moderator:
Naona mnaanza kujihami mapema...mbona wenzenu wapo kimya tu...!!! Ujue hata mgonjwa mahhututi akianza kuongea na kupata nafuu ujue kesho yake mbali,....anzeni kuandaa kaburi. Ndio nyie hapo Ntuzu agosti 8

waambie shkhe maana kila dakika mourinho mournho. Kocha gani mwenye kikosi cha wachezaji wakubwa lakini kila kukicha anapaki bus.
 
Lazima kujadili! Kwasababu tumeona timu zote zilizotia mguu hapo Etihad zimepigwa! Sasa kujipanga muhimu!

Huyo Mzee Manuel mwenyewe anamawazo kibao kwasababu anajua kiboko Yake anakwenda Etihad!
 
Last edited by a moderator:
against Man city nahisi Mou ataenda kutafuta Pointi 1..Man city wako vizuri Etihad msimu huu..hakuna timu inayoenda Etihad kutafuta point 3..
akiwa na kikosi kamili kwenye defence...na counter attacks za Hazard & willian
gemu bado mbichi sana
KTBFFH

Mimi naishangaa sana timu inayojisifu eti wakiwa nyumbani ndo wanashinda / wako vizuri...halafu wakiwa ugenini wanakuwa kawaida!! KWELI??? Hiyo si timu aisee..na kamwe hatupaswi kuiogopa timu zembe namna hiyo.

#CFC
 
Wewe inaonekana hata shuleni hukuwa sawa; kwa nini timu inakuwa na mabeki 4 na washambuliaji wasiozidi 3? Kwa sababu ulinzi ni muhimu. Ndo maana kunakuwa na kipa golini,. Football ni tofauti na tennis ambapo mtu anapiga tu, anapiga tu mpira bila malengo. mpira una mbinu;
waambie shkhe maana kila dakika mourinho mournho. Kocha gani mwenye kikosi cha wachezaji wakubwa lakini kila kukicha anapaki bus.
 
"Beautiful depends on your eyes and intelligence" inategeme na akili yako, kama akali yako inakuambia mpira mzuri ni kupasiana mimi sina uwezo wa kukubadili. Mimi akili yangu inataka mpira mzuri uwe na matunda; ndo maana tulikuja kwenu Emirates tukakuchapa 2-0; tukaja tena ukapata 0-0, sasa sijui kama mpira mzuri ni upi kwako; au kwako mpira mzuri ni kukaa bila kombe kwa misimu kibao huku unakuza vipaji na kuuza?
No Beautiful soccer/futbo you can watch UNDER MOURinho....PROVED!!!!!!!!!!!!!!!
 
Chelsea Chelsea; "the liquidator" tutakuwa tukiimba tu siku hiyo; au tutakuwa tunaimba wimbo wetu maarufu wa "the pride of london" au "blue day" watanyamaza kimyaa; :boxing:
Subiri Tarehe 22 mwezi Wa Tatu unakuja Darajani nikuchabange!
 
Watu wangu wa nguvu niambieni kwanini kocha wetu asingemuuza mata nje ya england kwani inauma sana kumuangalia akitesa mbele yetu au imekaaje hii nijuzen!
 
Huja fikiri kwa kina wewe jose kocha gani? Mbona hata moyes na wenger wanampata vizuri tu sembuse wewe wa uswahilini sishangai sana!
 
Wewe inaonekana hata shuleni hukuwa sawa; kwa nini timu inakuwa na mabeki 4 na washambuliaji wasiozidi 3? Kwa sababu ulinzi ni muhimu. Ndo maana kunakuwa na kipa golini,. Football ni tofauti na tennis ambapo mtu anapiga tu, anapiga tu mpira bila malengo. mpira una mbinu;

tapika tapika hadi povu la mwisho.. Timu gan inajihami hata ikicheza na mbeya city mtaweka watu 6 katika defence line
 
Watu wangu wa nguvu niambieni kwanini kocha wetu asingemuuza mata nje ya england kwani inauma sana kumuangalia akitesa mbele yetu au imekaaje hii nijuzen!

Mata hauzwi kwa taarifa yako; jaribu kufuatilia kwa umakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom