Si alifundisha Arsenal alifanya niniUnai Emery aliikuta Aston Villa nafasi ya 17, kaikokota hadi nafasi ya 6 na nasikia hali ya hewa kule villa park na dressing room ni shwari na hamonious hujapata kuiona. Usishangae kwa mechi 7 zilizobaki Aston Villa akacheza Championship
Wakati anaikuta Aston Villa kwenye 17 nadhani sisi tulikuwa 7 au 8
Wakati wa kuangalia makocha wa kuwasajili makocha kama hawa huwa tunawadharau na kung'ang'ana na matapishi yale yale
Nafikir unamaanisha champions league na sio championshipsUnai Emery aliikuta Aston Villa nafasi ya 17, kaikokota hadi nafasi ya 6 na nasikia hali ya hewa kule villa park na dressing room ni shwari na hamonious hujapata kuiona. Usishangae kwa mechi 7 zilizobaki Aston Villa akacheza Championship
Wakati anaikuta Aston Villa kwenye 17 nadhani sisi tulikuwa 7 au 8
Wakati wa kuangalia makocha wa kuwasajili makocha kama hawa huwa tunawadharau na kung'ang'ana na matapishi yale yale
Ah KMMK, kazi tunayo aiseeBodi ya Chelsea wameongeza makocha wawili tena kwenye usaili na kufikia makocha watano hadi sasa
Walioongezwa ni
The Blues have also added Burnley boss Vincent Kompany and Palmeiras coach Abel Ferreira
- Vincent Company
- Abel Ferreira wa Palmeiras
Jumla ya makocha waliofanyiwa usaili ni
- Julian Nagelsmann
- Luis Enrique
- Ruben Amorim
- Vincent Company
- Abel Ferreira
Kumfukuza Tuchel bila kufanya analysis ya uhakika kupata mtu sahihi ilikuwa ni biggest mistake katika historia ya hii timu
Yaani timu ya wanawake Chelsea unaweza kuiingiza kwenye mashindano ya Epl ,Uefa ,carabao na fa na ikakiwasha kuliko hii timu ya Mazezeta ,yule Sam Kerr ana akili na uwezo wa kucheza mpira kuliko mastriker tulionao ,shameChelsea ladies wawapiga Aston Villa kuingia fainali za Women FA na Man United Ladies
Hii sasa naamini kwenye mechi 20
NaamNafikir unamaanisha champions league na sio championships
Irizi ya Arsene Wenga ilikuwa bado ina nguvuSi alifundisha Arsenal alifanya nini
🤣🤣🤣🤣🤣Kesho hiyo Chelsea tunajambo letuView attachment 2590972
Kwa chelsea hii hii ya Lampard zwazwa.Kesho hiyo Chelsea tunajambo letuView attachment 2590972
Alimpiga kabisa GallagherNasikia baada ya mechi ya Brighton kuisha boss Alienda kuwachamba wachezaji [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]