Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

gujaga e ng'ombe utwale mang'ombe nulu abhili ga jisasa ga mabhele..na hela..abhenabha bhadahaya amang'ombe minge
Eng'ombe Shane na shekomala Lolo henaho! Bopya obholonji! Yani eng'olo yane yang'welelaga!
 
gujaga e ng'ombe utwale mang'ombe nulu abhili ga jisasa ga mabhele..na hela..abhenabha bhadahaya amang'ombe minge

Yooh! Bho bopa lolo enhemo! Adogije ahene okolema ghete gelegeta? Maana olonofunya eshikolo Shane nanagolaga gelegeta!
 
ahahahahahah..aduduje..hamo dummuje? ila aduduja,ulu ga nnadi ga maduka..angu ubhamanile shi?..SIZAE ngojaga na komeje na mipango ya nkoloni...obheja sana

Obheja sn ILOMBOYE! Toleho hange okobhabingwa!

Chelsea The Blues ! Happy Home !
 
article-2542420-1ACF569000000578-892_634x452.jpg

Masaa machache baada ya kuiangamiza Man useless....
 
nkwela Ntuzu inatosha sasa....mnaeza anza kutongozana humu na tusijue ala!

Nkwela watu8 naomba tafsiri ya haya makitu wameongea nahisi kuibiwa mali yangu.

Cc: kiwatengu mwallu
 
Last edited by a moderator:
nkwela Ntuzu inatosha sasa....mnaeza anza kutongozana humu na tusijue ala!

Nkwela watu8 naomba tafsiri ya haya makitu wameongea nahisi kuibiwa mali yangu.

Cc: kiwatengu mwallu

Niliamua kukaa kimya afadhali wewe mkongwe umefunguka; tujadili mambo ya Chelsea jamani wengine sisi hayo mambo ni mageni kabisa. Natumaini wamekusikia mkuu Mentor.
 
nkwela Ntuzu inatosha sasa....mnaeza anza kutongozana humu na tusijue ala!

Nkwela watu8 naomba tafsiri ya haya makitu wameongea nahisi kuibiwa mali yangu.

Cc: kiwatengu mwallu

Yani ktk siku Nimecheka sn ni Leo!

Mkuu Mentor umeniacha hoiii!

Ngoja waje Hao Wakuu wakusaidie fasiri!

Kazi kweli kweli! Umeona Majogoli tu! Daaah! mwallu Leo alikua kaamua kweli kweli. Eti anataka Vitz ya fisi Kutoka gamboshi amechoka na foleni za Huko Dar.
 
Last edited by a moderator:
Niliamua kukaa kimya afadhali wewe mkongwe umefunguka; tujadili mambo ya Chelsea jamani wengine sisi hayo mambo ni mageni kabisa. Natumaini wamekusikia mkuu Mentor.

Mkuu agosti 8 samahani Mkuu Km uliboreka na luga gongana!

Pamoja sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Yani ktk siku Nimecheka sn ni Leo!

Mkuu Mentor umeniacha hoiii!

Ngoja waje Hao Wakuu wakusaidie fasiri!

Kazi kweli kweli! Umeona Majogoli tu! Daaah! mwallu Leo alikua kaamua kweli kweli. Eti anataka Vitz ya fisi Kutoka gamboshi amechoka na foleni za Huko Dar.

Enheee umeona sasa agosti 8 !!!! si nlijua tu mke wangu anaibiwa hapa.

Sasa vitz imehusikaje na ushindi mnono wa chelsea dhidi ya middle tablers Man useless.
mwallu naomba majibu!
 
Last edited by a moderator:
Enheee umeona sasa @agosti8!!!! si nlijua tu mke wangu anaibiwa hapa.

Sasa vitz imehusikaje na ushindi mnono wa chelsea dhidi ya middle tablers Man useless.
mwallu naomba majibu!

Nkwela nhanho ozakobi na wasiwasi!

mwallu atakupa majibu mazuri tu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu agosti 8 unaonaje haka kamfumo Ka kuchezesha Beki Km kiungo mkabaji? Kanafanya kz vizuri sn! Maana ata Moyes Jana alimuweka Jones na dakika 20 za mwanzo tukawa tumepotea kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Nkwela nhanho ozakobi na wasiwasi!

mwallu atakupa majibu mazuri tu!

Nimekataa kuibiwa nasema..SITAKI!

Mkuu agosti 8 unaonaje haka kamfumo Ka kuchezesha Beki Km kiungo mkabaji? Kanafanya kz vizuri sn! Maana ata Moyes Jana alimuweka Jones na dakika 20 za mwanzo tukawa tumepotea kabisa!

Zile dakika (kwangu zilikuwa 12) za mwanzo walicheza mpaka nikapata wasiwasi hawa middle tablers wanataka kufanya nini!

But ukweli Carrick (16) na Januzaj (44) ndio wachezaji pekee kwangu kwa jana waliocheza vizuri kwa upande wa Man UTD. Wengine wengi walikuwa wanacheza bila kujua roles zao.
 
Hahah!!

Kaka mkubwa hakuna anayekuibia mali bhanaaa...wenzako wako na furaha zao wanabonga yao tu hapo

Mkuu Nimecheka sn! Yamekua majogoli tu! Mentor hapana elewa kitu!

ILOMBOYE(dada) Yangu mwallu kweli Wewe ni kiboko! Huyu Shemeji Mentor ulimpa Nini? Au obogota obhoko bhommu? Yani anawivu sn

Mkuu watu8 Asante sn mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Labda niseme hoja mbili kuhusu beki kucheza nafasi ya kiungo:
Kwanza kabisa David Luiz ni beki ambaye ana sifa nyingi za kiungo kuliko kuwa 'beki asilia' yuko tofauti sana na John Terry au Cahill, kwa sababu hawa wawili huwa wanapanda mbele wakati wa kona tu.
Uzuri wa David Luiz kucheza pale kati ni kwamba anapiga pasi ndefu ndefu ambazo zinawatawanya maadui: Tofauti na Ramires au Mikel ambao wanapenda kukaa na mpira mguuni: David Luiz anapenda kucheza mpira wa kibabe ni hiyo inasaidia sana; Kwa wenzangu wa zamani kwenye timu mtakumbuka Ballack #13, alikuwa na mambo hayo: pasi zake zilikuwa ndefu na mpira wa nguvu alikuwa anauweza. Lakini mlengwa ameshafika Nemanja Matic, sasa inaonekana atakuwa anacheza na Mikel pale kati: Ramires anafaa pembeni kwa sababu ana mbio na huwa anatoa krosi nzuri sana. unakumbuka goli la kwanza dhidi Napoli katika ushindi wa 4-1 pale darajani?
Nimekataa kuibiwa nasema..SITAKI!

Zile dakika (kwangu zilikuwa 12) za mwanzo walicheza mpaka nikapata wasiwasi hawa middle tablers wanataka kufanya nini!

But ukweli Carrick (16) na Januzaj (44) ndio wachezaji pekee kwangu kwa jana waliocheza vizuri kwa upande wa Man UTD. Wengine wengi walikuwa wanacheza bila kujua roles zao.
 
Kuhusu Man Utd kutushambulia zile dakika za mwanzo mimi sikuwa na wasiwasi hata kidogo. Unapocheza na timu kongwe unapaswa kutegemea kushambulia. Mimi nilitaka watushambulie japo kwa dakika 45 za kwanza, lakini hawana pumzi ya kufanya hivyo. Faida za timu kushambuliwa ni kwamba wacheza watakomaa kisaikolojia. timu nzuri inapimwa inaposhambuliwa pia. Sasa vijana wako imara sana; The Leader John Terry #26 amesema kwamba wao walipokuwa wanashambuliwa zile dakika 10 za mwanzo; walitulia hawakutaka "kupanic" ; matunda ya utulivu wa wachezaji yakawa ushindi wa 3-1.
Mkuu agosti 8 unaonaje haka kamfumo Ka kuchezesha Beki Km kiungo mkabaji? Kanafanya kz vizuri sn! Maana ata Moyes Jana alimuweka Jones na dakika 20 za mwanzo tukawa tumepotea kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom