Hapo ndio utampenda zaidi Potter, binafsi namkubali sana nisiwe mnafiki. Ile falsafa yake naipenda sana, timu lazima ipeleke moto haswa sio unacheza kama umelazimishwa.
Uyo Potter tutakuja mkataa hapa hapa ..kocha Hana experience yeyote ya michuano mikubwa ..Leo unamkabidhi timu kama hii ..huu msimu naona tutapoteana zaidi
Graham Potter na bench lake la ufundiView attachment 2352581
Potter mikumi na tano kabisa