Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah
20230401_202506.jpg
 
Taratibu tu tutakuja kuzungumza lugha moja, Potter hana uwezo wa kuipeleka popote Chelsea labda kuishusha daraja.
Katika maamuzi mabov Boehly aliyowah fanya nikumleta Potter, na Pride yake ndio itakayofanya tuonekane ni team ya hovyo.

Roman alikuwa faster kurectify mistake ila Boehly kama anaamini Potter ni mtu sahihi asitegemee tutaweza shika hata no 4 miaka yote potter atakayokuwepo.

Kocha ambae hajawai prove chochote unasema unampa mda, upuuzi kabisa

Tunawachezaj wazuri ila hatuna Kocha,
 
Huyo Todd ndio tatizo lenyewe. Hakupaswa hata kuwa sehemu ya bidders wanaotaka kuinunua Chelsea. Mpuuzi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom